Ni sahihi kusema serikali ya CCM ni wezi?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega?

Ukiambiwa andika ufanisi wa serikali ya CCM utawatambulisha Kwa kauli gani Kati ya hizi hapa juu?
 
Wakuu

Haya ya ccm yasiwaumize vichwa!hayo ndio maamuzi ya nchi yetu iwe kama ilivyo!!

Yaani vyombo vyote vya usalama viliamua kulinda hayo yaani ni sehemu ya maamuzi ya nchi yetu!!
 
Seikali ya CCM inaongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassani ambaye wazi kabisa ameonyesha kuchukizwa na yanayofanyika, hapa jibu sahihi nikuwa watanzania tunakosa uzalendo ninahakika hata ingekuwa CHADEMA kwa muonekano wa viongozi wake hali ingekuwa mbaya zaidi. Shida kubwa na hii ni Afrika kwa ujumla ni nepotism (ubinafsi) upo tayari kuongeza faida katika invoice ya kampani ya ndege kwakua wewe binafsi utafaidika.
 
Mbonaa CCM n wezi Toka enzi wanajiita TANU mkuu ,SEMA ndio hvyo wanang'ata na kupulizaaa ndio maana hatupati maumivu makalii wananchi waoó...
 
Seikali ya CCM inaongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassani ambaye wazi kabisa ameonyesha kuchukizwa na yanayofanyika, hapa jibu sahihi nikuwa watanzania tunakosa uzalendo ninahakika hata ingekuwa CHADEMA kwa muonekano wa viongozi wake hali ingekuwa mbaya zaidi. Shida kubwa na hii ni Afrika kwa ujumla ni nepotism (ubinafsi) upo tayari kuongeza faida katika invoice ya kampani ya ndege kwakua wewe binafsi utafaidika.
Hakuna serikali inayonuka Kwa ufisadi kama hii ya samia.mfano kwenye Reli slot 3 na 4 iliyosainiwa na hii serikali watu wamepiga pesa.
 
naunga mkono hoja lakini sharti unielewe mkuu, hivi unahsi itatokea serikali hawatapiga kama wanaopiga hakuna hatua zozote tangia Uhuru? ifike mahali fedha ya umma iogopwe hapo tutaendelea kama Taifa. Anayefanya ufisadi anakula shaba huyo ni sawa na mhaini.
 
Seikali ya CCM inaongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassani ambaye wazi kabisa ameonyesha kuchukizwa na yanayofanyika, hapa jibu sahihi nikuwa watanzania tunakosa uzalendo ninahakika hata ingekuwa CHADEMA kwa muonekano wa viongozi wake hali ingekuwa mbaya zaidi. Shida kubwa na hii ni Afrika kwa ujumla ni nepotism (ubinafsi) upo tayari kuongeza faida katika invoice ya kampani ya ndege kwakua wewe binafsi utafaidika.
USIIFANANISHE CHADEMA na CCM CCM imekuwa madarakani kwa Miaka 60 wizi na Ubsdhirifu ni ule ule kwa Miaka 60 ni dhahiri HAIREKEBISHIKI
 
Kilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega?

Ukiambiwa andika ufanisi wa serikali ya CCM utawatambulisha Kwa kauli gani Kati ya hizi hapa juu?
Waambie kwanza Mods watoe hiyo alama ya kuuliza kwenye kichwa chako cha habari, ili kuhitimisha huu mjadala wako.
 
Majambazi yaliyokubuhu, yenye ushirikiano na mshikamano ambao huwezi kuuona kwenye nchi yoyote Duniani.
 
Kilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega?

Ukiambiwa andika ufanisi wa serikali ya CCM utawatambulisha Kwa kauli gani Kati ya hizi hapa juu?
Short n very clear.. Ni MAJAMBAZI
 
Kilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega?

Ukiambiwa andika ufanisi wa serikali ya CCM utawatambulisha Kwa kauli gani Kati ya hizi hapa juu?
Serikali ya Majizi! Majizi ya Kimataifa
 
Back
Top Bottom