GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Hata kichanga ni classmate?R.i.P Classmate....😥
Kwahiyi msiba unafanyika wapi...🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kichanga ni classmate?R.i.P Classmate....😥
Kwahiyi msiba unafanyika wapi...🤔
Wapare mna shida gn lakinDah 😂 wazazi wamekaa kimchongo
Tuko vzr mkuuWapare mna shida gn lakin
Kwani sh ngapi mchango?kwahiyo ni dili
🤣🤣🤣🤣🤣 kizungumkuti njoo nisaidie kutoa
Maana ubongo wangu umegoma
Kimbembe ungo umeishiwa mafuta halafu kunakaribia kukucha.Kumbe!!! duniani kuna mambo.....
Hii ni experience au ulisimuliwa braza??Kimbembe ungo umeishiwa mafuta halafu kunakaribia kukucha.
Ndio ile unasikia wachawi wamekamatwa sehemu flani.
Nyungo ziliishiwa mafuta.
Hao wazazi sio wapare kweli?Dah 😂 wazazi wamekaa kimchongo
Ah tutake radhi mkuu, wapare hatujawahi kuwa hvy hao watakuwa wazaramo 😎Hao wazazi sio wapare kweli?
Ndio uhalisia wenyewe Sista.Hii ni experience au ulisimuliwa braza??
Utaishaje, kamshahara kenyewe laki Saba jujaka vizuri Kadi za harusi mbili ziko mezani, mara mchango wa kopaimara, ghafla msiba.Ndo maana umaskini hauishi!