ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
- Thread starter
-
- #21
Basi huyu akijiunga Chadema atakuwa mtaji tosha, Tena agombee ubunge Jimbo la mtamaSerikali ijuandae na bomu la hawa watu wenye wafuadi wengi mitandaoni ! Jana mm nikuwa nafuatilus hiyo michango....niliogopa ya Mamilioni yalikussnywa ndani ya muda mfupi!
Ila hata iweje huyu mtoto' anawafuadi! Kuna siku niliona wkisjangilua comment ya RAIS SAMIA kwenye Insta page yake wkimpongexs!...niidhie hapo😁
Aina hii ya watu wapi CCM...Mwijaku,Babalevi,Steve Nyerere...et al!Basi huyu akijiunga Chadema atakuwa mtaji tosha, Tena agombee ubunge Jimbo la mtama
Nikikumbuka watu wenye influence kubwa, matajiri, wasanii walivyooneshwa jinsi serikali ilivyo haijaribiwi enzi za Jiwe , ndo nikajua Chezea vyote ila Sio sirikaliKosa alilofanya anaweza kuwekwa kizuizini kwa makosa ambayo ni non bailable akaishia kukaa ndani bila dhamana ni rahisi kuingia kwenye tuhuma za kutakatisha fedha kwahiyo asipige ngumi ukuta ni muda wa kuwa mtulivu.
Malizia, MDANGAJI....Socialite, Slay queen, Bussiness Mogul , Superstar etc
Mkuu unatumia vidole vya mguu kuandika!!Serikali ijuandae na bomu la hawa watu wenye wafuadi wengi mitandaoni ! Jana mm nikuwa nafuatilus hiyo michango....niliogopa ya Mamilioni yalikussnywa ndani ya muda mfupi!
Ila hata iweje huyu mtoto' anawafuadi! Kuna siku niliona wkisjangilua comment ya RAIS SAMIA kwenye Insta page yake wkimpongexs!...niidhie hapo😁
Ila sio mbaya ana range tena plate namba ni jina lake, anamalizana nao cha msingi hasi waangushe MASHABIKI WAKE wanao muaminia.Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.
Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama ni kumjibu Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambaye ni Raia namba tatu baada ya maelekezo mahususi ya kutakiwa kukamatwa kwa Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.
Unaweza Kusoma ujumbe wa Niffer kupitia mtandao wake wa kijamii hapa chini
Labda alilenga kusema ana watu, but strong amry amekosea. Tuna jeshi moja tu nchi hii jeshi la wananchi wa tanzaniaJe, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.
Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama ni kumjibu Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambaye ni Raia namba tatu baada ya maelekezo mahususi ya kutakiwa kukamatwa kwa Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.
Unaweza Kusoma ujumbe wa Niffer kupitia mtandao wake wa kijamii hapa chini
Mhh au ndo haya mambo ambayo trump hatakiKuna wadau wanadai anagongwa na mtu mzito, sasa mtu mzito kwa cheo ambae ni boss wa PM ni rais wa JMT na rais wetu ni mwanamke sasa kiburi kinatoka wapi? maana wote jinsia mmoja au mi kichwa changu ndio box? maana maruerue tu.