Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

Hajui dunia haiwapendi watu walionyooka. Anyway bado mtoto ataendelea kujifunza taratibu.
 
Ana sifa za kijinga na kujitia mjuaji asiyekubali kushindwa. Ila akilala nyuma ya nondo soku moja tu atashika adabu. Ndiyo tatizo la mabinti wadogo lkn wanalea mzazi na wadogo zake basi anajikuta ni kibopa wa kila mtu kumbe ni familia yake.
 
Ndio shida ya house girl kutembea na father house........
Anyway shamba la bwana heri na mbuzi ni WA bwana heri. Tumuachie bwana heri msala wake.
Ila watanzania tuamke. Mtu asituchangishe Tena kama mazuzu. Hii iwe mwisho
Yaani siku hizi hakuna heshima kabisa kwa serikali ukilinganisha na zamani yaani kitoto kidogo kinaitunishia misuli serikali tena imagine kiongozi wa juu kabisa namba 3.
Hadi aibu naona mimi
 
Sio bure kuna kanamna,confidence yake hata jinsi anavyowajibugi wafanyabiashara wenzake unajua tu kuwa kuna kitu nyuma ya pazia anakitegemea
 
Chalamila ndiyo anakula mzigo itakua,maana hata kwenye utetezi wake ana mtaja Chalamila kama reference yake ya kuvunja sheria kua chala alikua anajua kua anachangisha!! Sasa Chala mwenyewe yuko kimya!!
Kama anamtegemea mkuu wa mkoa kwenye ishu ya kitaifa anajidanganya,bado ana utoto mwingi hajajua uzito wa serikali aliufyata manji akawa na adabu atakuwa yeye nani
 
Wakati mwingine mtu anaweza akakosa msamiati sahihi, akatumia msamiati usio sahihi.
 
Una mwanasheria lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…