Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa wa 'mama', Majaliwa atatulizwa tu kwani cheo cha CHAWA WA MAMA ni kikubwa kuliko Uwaziri Mkuu.Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.
Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama ni kumjibu Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambaye ni Raia namba tatu baada ya maelekezo mahususi ya kutakiwa kukamatwa kwa Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.
Unaweza Kusoma ujumbe wa Niffer kupitia mtandao wake wa kijamii hapa chini
Ndiyo keshadharaulika huyo, mwambie afanye lolote na mwingine yoyote aliyeguswa amsaidie kwa namna awezavyo.Waziri Mkuu kasim majaliwa kwa nini anadharaulika? Hii ni Dharau kabisa haipaswi kuvumilika
🤸♀Strong army in between
Kabisa mkuuWaziri Mkuu kasim majaliwa kwa nini anadharaulika? Hii ni Dharau kabisa haipaswi kuvumilika
Mmh, wachawi hamna bhana..Tena akiwa na Tako kubwa lazima awe na kiburi. Maana wanaitembeza K kweli kweli, kuanzia kwa matajiri, viongozi wa kisiasa, watoto wa watu wazito, watu wa ikulu wanapewa Tako walienjoy, viongozi wa usalama/polisi/jeshi, viongozi wa kidini, mpaka wanapewa wachawi.
Wanajiona wao ndio wao 🤣
Hebu wekeni picha yake tumuone.Tatizo viongozi wenyewe wanawsapa viburi Kwa kuwavua vyupi
Dogo Niffer ni mpayukaji na anajiona ni le superbwoman kumbe shotii flani hivi
Wanasema anatoa mbunye kwa watu wakubwa, sijui ndio akina nani!Watambinya wazee wa kazi! Huwezi mjibu PM namna hii, labda sio bongo hii ninayoijua mie. 😁
Kichwa chako ni box kama usemavyoKuna wadau wanadai anagongwa na mtu mzito, sasa mtu mzito kwa cheo ambae ni boss wa PM ni rais wa JMT na rais wetu ni mwanamke sasa kiburi kinatoka wapi? maana wote jinsia mmoja au mi kichwa changu ndio box? maana maruerue tu.
hapana usimlishe maneno mkuu yy amesema ana strong army hajasema/andika kama ana strong God's army...kwamba huamini au? najaribu kuwaza kama ameweza kumjibu hivyo kiongozi mkuu wa nchi vp timbwili lake akikutana na mwananchi wa hali ya chini kama mimi si unatumiwa kikosi tu kikumalize sekunde,aise inatisha ,ila omba Mungu yasikukute kuna watu wana pesa na hayo aliyoyaongea siyo ya kupuuzaAnaposema anastrong army anaweza maanisha jeshi la Mungu mana nia yake ilikuwa njema tu me sioni alichokosea