Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

Ni sahihi kwa Celebrity Niffer Kusema ana "strong army" likiwa ni jibu kwa Waziri Mkuu baada ya maagizo?

Strong army tena kwahiyo yupo juu ya sheria,hukufuata sheria si ndiyo maana unachukuliwa hatua, huo nikujipatia pesa kwa ufanganyifu hutawakilisha michango yote kwa hulka zako hizo hauaminiki kabisa,
 
Je, Hawa wananchi ambao ni mastar na ma celebrities ambao pia ni wafanya biashara Wana uelewa wowote wa protokali za Kiserikali.

Nimeshangaa Mfanyabiashara mkubwa kabisa mwanamke mwenye mafanikio mengi akiwa amejijengea umaarufu mkubwa kupitia biashara zake, akitoa kauli tata inayoelekea kama ni kumjibu Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambaye ni Raia namba tatu baada ya maelekezo mahususi ya kutakiwa kukamatwa kwa Niffer ambaye aliendesha zoezi la Michango Kwa maafa ya Kariakoo kinyume na Sheria ama bila kibali cha ofisi ya Waziri Mkuu inayosimamia majanga na dharura za aina hiyo.

Unaweza Kusoma ujumbe wa Niffer kupitia mtandao wake wa kijamii hapa chini

Chawa wa 'mama', Majaliwa atatulizwa tu kwani cheo cha CHAWA WA MAMA ni kikubwa kuliko Uwaziri Mkuu.
 
Haka katoto kahuni Niffer, mpuuzi sana, kazoea kutukana watu na wasanii wenzake, kaota mapembe, kajiona yeye kana nguvu, sasa anataka kushindana na Serikali tena lugha za dharau kabisa..!!

Huyu ni kuweka ndani akae kwanza mwaka alafu akitoka ndio aseme nani alimpa ruhusa ya kukusanya fedha kwa ajili ya wahanga wa ghorofa la Kariakoo, mwizi huyu mtoto
 
Tena akiwa na Tako kubwa lazima awe na kiburi. Maana wanaitembeza K kweli kweli, kuanzia kwa matajiri, viongozi wa kisiasa, watoto wa watu wazito, watu wa ikulu wanapewa Tako walienjoy, viongozi wa usalama/polisi/jeshi, viongozi wa kidini, mpaka wanapewa wachawi.


Wanajiona wao ndio wao 🤣
Mmh, wachawi hamna bhana..
 
Anaposema anastrong army anaweza maanisha jeshi la Mungu mana nia yake ilikuwa njema tu me sioni alichokosea
hapana usimlishe maneno mkuu yy amesema ana strong army hajasema/andika kama ana strong God's army...kwamba huamini au? najaribu kuwaza kama ameweza kumjibu hivyo kiongozi mkuu wa nchi vp timbwili lake akikutana na mwananchi wa hali ya chini kama mimi si unatumiwa kikosi tu kikumalize sekunde,aise inatisha ,ila omba Mungu yasikukute kuna watu wana pesa na hayo aliyoyaongea siyo ya kupuuza
 
Back
Top Bottom