StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Kama hajapendwa atachokwa tu hata akiolewa. Muhimu UPENDO!Nyie wanawake wapumbavu sana mtu sio mumeo unaenda kukaa kwake muda mrefu hvyo ili iweje... As long as much unakaa kwa boyfriend ndivyo unavyozidi kupoteza mvuto kwake...
Ndiyo, nitaliwa na babe wangu ππaya mie nipo hapa utliwa tuu
Sijawahi aisee,nilichowahi ni kuolewa Kwa kulipiwa mahari then ndani ya ndoa nikatimiza majukumu yangu
Kwani alimpa muda wa kukaa hapo?Siyo sahihi kwa mtu yeyote, hata awe jamaa yako wa karibu, ku-overstay ukaribisho wake.
kumbe ulishaolewaga?Sijawahi aisee,nilichowahi ni kuolewa Kwa kulipiwa mahari then ndani ya ndoa nikatimiza majukumu yangu
Kama huo ndio uchumba, hawala atakuwa na sifa zipi?Huko kukaa kwako si ndio uchumba wenyewe sasa au????
Kitendo cha kumwondoa sio kibaya, ila ubaya ni namna alivyomwondoa. Je, kitumbua chake haukiitaji tena?Habari zenu ndugu zangu.
Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka.
Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi. Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
- Sijui anapoishi.
- Ni mjasiriamali hana address.
- Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
Kila siku kujifanya hujuikumbe ulishaolewaga?
Mie najuaga ni matani ya hapa jf. Kumbe ni kweli.Kila siku kujifanya hujui
Kama hujamgegeda umefanya poa kabisa kumuondoa shetwaini wa kikeHabari zenu ndugu zangu.
Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka.
Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi. Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
- Sijui anapoishi.
- Ni mjasiriamali hana address.
- Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
πππKwamba tujisalimishe ππ
Ndio mjilete magetoni tupeane utamuπππKwamba tujisalimishe ππ
πππNdio mjilete magetoni tupeane utamu
Uko sahihiHabari zenu ndugu zangu.
Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka.
Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi. Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
- Sijui anapoishi.
- Ni mjasiriamali hana address.
- Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
Sawa kabisa, unaweza kushikwa ugoni, yaani humjui ndugu yake yeyote halafu unakaa nae? Labda kakumbia kwao baada ya kuolewa mke wa pili? Nililiona hili mwanza jamaa alikaa na binti toka singida hakujua kakimbia mume baada ya gubu la mke mwenza kumshinda.Habari zenu ndugu zangu.
Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka.
Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi. Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
- Sijui anapoishi.
- Ni mjasiriamali hana address.
- Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
Au inawezekana mwamba pia matumizi yalimchosha, badala ya kurusha 20 ya kusuka kila mwezi akajikuta anatumia 50 kila siku kumhudumia mgeniHujui ndugu wala rafiki zake, unaweza kuwajua ukitaka
Hujui anapoishi, hili nalo ni la kujua ukiamua
Anahitaji ndoa, hili nalo ni tatizo??
Kimsingi sababu zako sio za msingi. Wewe sema ulimchoka tu dada wa watu baada ya kula mbususu week tatu mfululizo
Tuwaoeni jamani hawa watoto wa kike sometimes nawaonea huruma sana hawa viumbe.