Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Nyie wanawake wapumbavu sana mtu sio mumeo unaenda kukaa kwake muda mrefu hvyo ili iweje... As long as much unakaa kwa boyfriend ndivyo unavyozidi kupoteza mvuto kwake...
Kama hajapendwa atachokwa tu hata akiolewa. Muhimu UPENDO!
 
Yani kuna mtu nampenda kinomaaaaa tatizo anaye ulinzi mkali,nafikiria namna ya kuzitoa hizo pattern.
 
Habari zenu ndugu zangu.

Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka.

Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi. Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
  • Sijui anapoishi.
  • Ni mjasiriamali hana address.
  • Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
Kitendo cha kumwondoa sio kibaya, ila ubaya ni namna alivyomwondoa. Je, kitumbua chake haukiitaji tena?
 
Habari zenu ndugu zangu.

Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka.

Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi. Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
  • Sijui anapoishi.
  • Ni mjasiriamali hana address.
  • Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
Kama hujamgegeda umefanya poa kabisa kumuondoa shetwaini wa kike
 
Habari zenu ndugu zangu.

Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka.

Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi. Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
  • Sijui anapoishi.
  • Ni mjasiriamali hana address.
  • Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
Uko sahihi
 
Sawa kabisa, unaweza kushikwa ugoni, yaani humjui ndugu yake yeyote halafu unakaa nae? Labda kakumbia kwao baada ya kuolewa mke wa pili? Nililiona hili mwanza jamaa alikaa na binti toka singida hakujua kakimbia mume baada ya gubu la mke mwenza kumshinda.
 
Hujui ndugu wala rafiki zake, unaweza kuwajua ukitaka
Hujui anapoishi, hili nalo ni la kujua ukiamua
Anahitaji ndoa, hili nalo ni tatizo??

Kimsingi sababu zako sio za msingi. Wewe sema ulimchoka tu dada wa watu baada ya kula mbususu week tatu mfululizo
Au inawezekana mwamba pia matumizi yalimchosha, badala ya kurusha 20 ya kusuka kila mwezi akajikuta anatumia 50 kila siku kumhudumia mgeni
 
Watu mnaomsema kajaa eti kachoka mbususu nadhani hamjawahi kutana na case ya mwanamke kutotaka kuondoka.

Unakuta hizo wiki tatu jamaa amejaribu mara kadhaa kumjulisha binti kuhusu kuondoka au alikua anaona akimuambia aondoke ataonekana roho mbaya.

Lakini kadri siku zinavyozidi kwenda binti anaimarisha mizizi, kama mwanaume unaejielewa, ukishaona hivyo lazima uchukue hatua.

ubaya wanakuaga wakali wakati wa kuondoka, utadhani mlikubaliana aje muanze maisha.

Mwamba hujakosea, usioe kizembe hivyo, ishi sawa na plan zako.
 
Back
Top Bottom