Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Wamalizane wapi sasa
Ni heri wakamalizane guest, lodge au vichakani huko kuliko kufanyia dhambi kwenye kitanda unacholalia.

Ndiyo maana wengi hawatoboi na kuandamwa na mikosi kumbe wanaikaribisha wenyewe majumbani mwao.

Kwangu mwanamke ambaye siyo mke wangu kulala naye kwenye kitanda changu never.
 
Mikosi haikaribishwi Kwa kulala,mikosi hukaribishwa Kwa kumwagiana mbegu
 
😂😂😂😂 kuishi na mtu humjui ni risk sana
 
Kuna mmoja nilimuuliza unakaa siku ngapi..na kwenu unaagaje mtoto wa kike akasema haina shida kwao ndo hivo..anaweza badili laini Kisha akapotea afu badae labda tayari keshazaa ndo twende kwao kujitambulisha🤔 nikamwambia subiri ila ki ukweli nishamfuta kichwani huyo jobless
 
mimi huwa nikiona anakua mgumu kuondoka,namuambia unajua hapa ninapokaa wife ndio analipia kodi na amesema anakuja kesho asubuhi
 
Kwamba aliichakata??mbona anaonyesha hakuiomba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…