Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Wamalizane wapi sasa
Ni heri wakamalizane guest, lodge au vichakani huko kuliko kufanyia dhambi kwenye kitanda unacholalia.

Ndiyo maana wengi hawatoboi na kuandamwa na mikosi kumbe wanaikaribisha wenyewe majumbani mwao.

Kwangu mwanamke ambaye siyo mke wangu kulala naye kwenye kitanda changu never.
 
Mikosi haikaribishwi Kwa kulala,mikosi hukaribishwa Kwa kumwagiana mbegu
 
Habari zenu ndugu zangu.

Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka.

Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi. Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
  • Sijui anapoishi.
  • Ni mjasiriamali hana address.
  • Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
😂😂😂😂 kuishi na mtu humjui ni risk sana
 
Kuna mmoja nilimuuliza unakaa siku ngapi..na kwenu unaagaje mtoto wa kike akasema haina shida kwao ndo hivo..anaweza badili laini Kisha akapotea afu badae labda tayari keshazaa ndo twende kwao kujitambulisha🤔 nikamwambia subiri ila ki ukweli nishamfuta kichwani huyo jobless
 
mimi huwa nikiona anakua mgumu kuondoka,namuambia unajua hapa ninapokaa wife ndio analipia kodi na amesema anakuja kesho asubuhi
 
Hujui ndugu wala rafiki zake, unaweza kuwajua ukitaka
Hujui anapoishi, hili nalo ni la kujua ukiamua
Anahitaji ndoa, hili nalo ni tatizo??

Kimsingi sababu zako sio za msingi. Wewe sema ulimchoka tu dada wa watu baada ya kula mbususu week tatu mfululizo
Kwamba aliichakata??mbona anaonyesha hakuiomba?
 
Back
Top Bottom