ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,302
- 2,462
Hahaha niamini mimi hujakosea mkuu.Mi aliongeza nguo na kuanza kununua baadhi ya vifaa vya jikoni kama kinu na flampeni
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha niamini mimi hujakosea mkuu.Mi aliongeza nguo na kuanza kununua baadhi ya vifaa vya jikoni kama kinu na flampeni
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ni heri wakamalizane guest, lodge au vichakani huko kuliko kufanyia dhambi kwenye kitanda unacholalia.Wamalizane wapi sasa
Mikosi haikaribishwi Kwa kulala,mikosi hukaribishwa Kwa kumwagiana mbeguNi heri wakamalizane guest, lodge au vichakani huko kuliko kufanyia dhambi kwenye kitanda unacholalia.
Ndiyo maana wengi hawatoboi na kuandamwa na mikosi kumbe wanaikaribisha wenyewe majumbani mwao.
Kwangu mwanamke ambaye siyo mke wangu kulala naye kwenye kitanda changu never.
[emoji1787][emoji23]Bora wewe mi nilimuachia nauli nikskuta kanunua masufuria anapika
😂😂😂😂 kuishi na mtu humjui ni risk sanaHabari zenu ndugu zangu.
Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka.
Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi. Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
- Sijui anapoishi.
- Ni mjasiriamali hana address.
- Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
😂😂🤣Daah haya mambo ya kukaribishwa pisi haya nilikoma
Demu alikuwa hataki kutoka nimuachia nauli nikamuelekeza funguo pa kuweka
Nikajua ataondoka kumbe kaenda kuchukua begi karudi
We ni wale wale tuSijawahi hamia kwa mwanaume toka naanza mahusiano niligoma hii kitu. Nikikaa sana two days naamsha.
We kama huwa unahamia kwa mabasha zako ni wewe, wengine hatupo hivyo kiongozi usitake tufanane.We ni wale wale tu
Kwamba aliichakata??mbona anaonyesha hakuiomba?Hujui ndugu wala rafiki zake, unaweza kuwajua ukitaka
Hujui anapoishi, hili nalo ni la kujua ukiamua
Anahitaji ndoa, hili nalo ni tatizo??
Kimsingi sababu zako sio za msingi. Wewe sema ulimchoka tu dada wa watu baada ya kula mbususu week tatu mfululizo