Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh 😂 😂 noma sanaKishakula mbususu hadi amechoka.....haya mambo haya
Huyo wa kwanza ndio alikuwa mke Sasa,kuna demu alizoea sana kuja geto kila akitoka kazini brek getoni.
na mi nikaona nishikie klach hapo hapo!!mbunye ya bure bure.
alikuwa akija kama alivyo na nguo alizotoka nazo kazini.
siku hiyo nyuma ya dressing nakuta mfuko wa TWENDE KWA SHANGAZI.
daahhh mamaee umejaa nguo zake.
sikujua zimefikaje!!na hata siku nilikuwa nikichelewa lazma anisubiri hadi nifike maana ndo funguo.
siku hiyo akinisubiri sikutokea..yule demu alilala nje asee!asubuhi nafika namkuta.
nikajua hili ninalo nikicheza hapa!
nilimtolea ule mfuko wake nikafurusha.nikafunga geto nikapotea.
daahhh ujana wote uanze mambo ya sogea tuishi.BIG NO.
ile ishu ilimuuma alipambana zaidi ya miaka 5 sasahivi amejenga kbs na kwake nimegeuza kwangu siku zingine nalala hapo na nimezaa nae...
ila kuna mdada mwingine huyu ameniweza kubabakee!
alianza kuja kuja geto nampasua..
mtoto wa kirombo alikuwa mtamu sijawahi kuona..
yaani akija anafua yaani anasafisha kila kitu afu ana aibu mshambaaa!
kila akiangalia muvi anakuuliza hivi NI KWELI WANAUANA.hahaha namwambia ni kweli ndio anaanza kulia.
huyu nimemwachia kabisa geto km kwake.na siwezi kumuacha milele
Flampeni la chapati🤣🤣🤣🤣😆🙌Mi aliongeza nguo na kuanza kununua baadhi ya vifaa vya jikoni kama kinu na flampeni
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Embu nijibu tena,we siyo mjeshi kweli?Teh teh teh 😂 😂 noma sana
Hiyo kwa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi imekaa vema sana.Kila mtu ahesabiwe hasa akiwa nyumbani kwake.Ngoma droo.Kakumega na weye ukambugia na kulala mbele mkisubiri toleo lijalo.😂😂😂😂Ujinga na ulimbukeni,wengine wamejiolesha bure😆🙌....mi hata siku Moja tu naanza kuchoka usiku huohuo nakumbuka bed yangu..sema kinachonilaza ni njaa ya kukunwa...nikimaliza tu mwendo.🚴🚴
Tena mnamisiana balaa😜Hiyo kwa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi imekaa vema sana.Kila mtu ahesabiwe hasa akiwa nyumbani kwake.Ngoma droo.Kakumega na weye ukambugia na kulala mbele mkisubiri toleo lijalo.😂😂😂😂
Tatizo mabinti wabishi sana, wanadhani kwenda kusafisha geto na kufua majinzi ndio tiketi ya ndoa.....Sledi yake itumike kama rejea kwa mabinti ili wakiiona,kuisoma na kuielewa wakae na la kujifunza.That's hectic!
Kabla hajaja kwako alikuwa anaishi kwake au kwa Wazazi wake?Kila siku nawaza kumtoa nashindwa akienda kwenye mishe zake anarudi kwangu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ulifanikiwa kumtoa kwa mbinu zipi maana na wenyewe wabishiDaah we acha tu unakuta kabati kaligawa upande wake na wako
Yaani nilivyofanikiwa kumtoa nilifurahi sana sema alikuwa mtamu ndio hicho ninacho miss kutoka kwake
Kijana amefeli sana.Hivi ataweza kuishi na bibie zaidi ya miaka ishirini nyumba moja,kitanda kimoja na mwili mmoja kweli kama sisi wakubwa wake?Changamoto ni kwamba siku hizi mabinti wanawapa mbususu kwa urahisi mno hadi wanajua haina ulazima kuoa.Oya umefeli mtihani Mkuu!!
Ndio Huyo !ungekaa nae tu ujue ana madhaifu gani ya kitabia kama yapo!
Alipaona ni pazuri akaamua akupe yote na wewe ungeipokea yote na sio nusu kama ulivofanya!!
Ni hulka yetu kuwachoka wanawake mapema na KUPENDA vipya lakini kama Baba YAKO angechoka wewe hatma YAKO ingekuwaje!!
Ungetumia kauli hii Ili kum alert kwamba"Mimi ni mwanaume ninaependa mitara je upo tayari Kuwa mke MKUBWA!!?ungesikia jibu lake!
Anyway nisikuchoshe, ongezea Hapo chini;-
"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba mpya"
fanyDaah haya mambo ya kukaribishwa pisi haya nilikoma
Demu alikuwa hataki kutoka nimuachia nauli nikamuelekeza funguo pa kuweka
Nikajua ataondoka kumbe kaenda kuchukua begi karudi
Daah we acha tu nilipata funzo sio kila demu ni wa kuleta ghetto [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nauli ililiwa kitaalamu sana na hakuondoka
Habari zenu ndugu zangu.
Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuomdoka.
Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi.
Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
Sijui anapoishi.
Ni mjasiriamali hana address.
Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah haya mambo ya kukaribishwa pisi haya nilikoma
Demu alikuwa hataki kutoka nimuachia nauli nikamuelekeza funguo pa kuweka
Nikajua ataondoka kumbe kaenda kuchukua begi karudi
Toka vumbi la congo limezuiwa mtawafukuza sana,wengne mlikua mnabeba watatu-watatu tutasikia mengi.