Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Ujinga na ulimbukeni,wengine wamejiolesha bure😆🙌....mi hata siku Moja tu naanza kuchoka usiku huohuo nakumbuka bed yangu..sema kinachonilaza ni njaa ya kukunwa...nikimaliza tu mwendo.🚴🚴
 
kuna demu alizoea sana kuja geto kila akitoka kazini brek getoni.
na mi nikaona nishikie klach hapo hapo!!mbunye ya bure bure.

alikuwa akija kama alivyo na nguo alizotoka nazo kazini.
siku hiyo nyuma ya dressing nakuta mfuko wa TWENDE KWA SHANGAZI.

daahhh mamaee umejaa nguo zake.
sikujua zimefikaje!!na hata siku nilikuwa nikichelewa lazma anisubiri hadi nifike maana ndo funguo.

siku hiyo akinisubiri sikutokea..yule demu alilala nje asee!asubuhi nafika namkuta.
nikajua hili ninalo nikicheza hapa!

nilimtolea ule mfuko wake nikafurusha.nikafunga geto nikapotea.
daahhh ujana wote uanze mambo ya sogea tuishi.BIG NO.

ile ishu ilimuuma alipambana zaidi ya miaka 5 sasahivi amejenga kbs na kwake nimegeuza kwangu siku zingine nalala hapo na nimezaa nae...

ila kuna mdada mwingine huyu ameniweza kubabakee!
alianza kuja kuja geto nampasua..
mtoto wa kirombo alikuwa mtamu sijawahi kuona..
yaani akija anafua yaani anasafisha kila kitu afu ana aibu mshambaaa!

kila akiangalia muvi anakuuliza hivi NI KWELI WANAUANA.hahaha namwambia ni kweli ndio anaanza kulia.
huyu nimemwachia kabisa geto km kwake.na siwezi kumuacha milele
Huyo wa kwanza ndio alikuwa mke Sasa,
Sahizi mngekuwa mbali

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ujinga na ulimbukeni,wengine wamejiolesha bure😆🙌....mi hata siku Moja tu naanza kuchoka usiku huohuo nakumbuka bed yangu..sema kinachonilaza ni njaa ya kukunwa...nikimaliza tu mwendo.🚴🚴
Hiyo kwa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi imekaa vema sana.Kila mtu ahesabiwe hasa akiwa nyumbani kwake.Ngoma droo.Kakumega na weye ukambugia na kulala mbele mkisubiri toleo lijalo.😂😂😂😂
 
Oya umefeli mtihani Mkuu!!

Ndio Huyo !ungekaa nae tu ujue ana madhaifu gani ya kitabia kama yapo!

Alipaona ni pazuri akaamua akupe yote na wewe ungeipokea yote na sio nusu kama ulivofanya!!

Ni hulka yetu kuwachoka wanawake mapema na KUPENDA vipya lakini kama Baba YAKO angechoka wewe hatma YAKO ingekuwaje!!

Ungetumia kauli hii Ili kum alert kwamba"Mimi ni mwanaume ninaependa mitara je upo tayari Kuwa mke MKUBWA!!?ungesikia jibu lake!

Anyway nisikuchoshe, ongezea Hapo chini;-

"Rasimu ya Warioba irudi mezani Sasa iwe Katiba mpya"
 
Kijana amefeli sana.Hivi ataweza kuishi na bibie zaidi ya miaka ishirini nyumba moja,kitanda kimoja na mwili mmoja kweli kama sisi wakubwa wake?Changamoto ni kwamba siku hizi mabinti wanawapa mbususu kwa urahisi mno hadi wanajua haina ulazima kuoa.
 
Habari zenu ndugu zangu.

Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuomdoka.

Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi.

Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.

Sijui anapoishi.

Ni mjasiriamali hana address.

Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.

Nimefanya vibaya ndugu zangu?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

maamuzi magum
 
Mkuu
Kwanza kitendo cha kuokota mtu barabarani usiyemjua kwa lolote afu kumpeleka kwako na kuishi naye wiki mbili na zaidi siyo sahihi.

Huyo wala haumpendi, acha aende zake. Ila jifunze kutofanyia mambo yako kwako, nenda fanyia sehemu nyingine na yaache hukohuko mathalani nyumba ya wageni

Sa hivi tegemea kuambiwa, "nina mimba yako." najua kwa siku zote hizo ulikula mbususu kavu kavu. Ashakutega na umeingia kingi.

Mwisho, mdada anataka ndoa, we unazingua. Kama unampenda fuatilia taarifa zake zote. Suala la kuoa au kuolewa huwa hakuna kanuni... Popote, wakati wowote, muda wowote, unaweza kuoa au kuolewa... Tuulize tuliooa na walioolewa.

Mwondoe kwa staha. Usimfukuze kwa ufedhuli... Hujui ya kesho.
 
Back
Top Bottom