Kuna habari nilishawahi kuisoma kama miaka 6 iliyopita, ilimhusu binti mmoja aliyefariki kwa Tetenasi (Tetanus) ambapo msiba wake uliwaacha na mshangao wazazi, ndugu, jamaa pamoja na madaktari waliochunguza maiti yake.
Habari iko hivi
Binti huyo ilisemekana alikuwa na tabia ya kufua chupi na kuzianika bafuni kwenye misumari badala ya kuzianika nje ili zipate jua. Hivyo ilikuwa ni tabia yake kwa kipindi kirefu kumbe bila kujua maji maji kutoka kwenye chupi yaliozehsa misumari ile na kufanya kutu (Rust). Binti hakuwa na rekodi ya kujikata wala vidonda lakini alifariki na madaktari walibaini chanzo cha kifo chake ni Tetenasi. Hivyo katika kufuatilia chanzo chake walibaini kuwa chupi alizokuwa akifua na kuanika kwenye misumari ndio zimepelekea umauti wake, kwa maana wadudu wa tetenasi walipitia ukeni. [emoji2817][emoji2817][emoji2817]
ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]