Ni sahihi kwa vyombo vya dola kuingia kuyapekua maisha na mapato ya Juma Jux

Legally, state authorities have the right to investigate anyone’s lifestyle and income, including Juma Jux, if there is reasonable suspicion,such as allegations of economic crimes or unexplained wealth. However, such investigations must follow due legal process and respect fundamental rights like privacy and human dignity.
 
Kama ana kadi ya chama na ana single moja ya kinaijeria ya kuachia uchaguzi huu wa mama, hilo sahau
 
Jukusi nae ana hela za kuogopesha taifa, km ambavyo mnasema hapa?
Em waja mtupumzishe bas. Lol
 
Inasemekana alikuwa na mahusiano na mwanaume wa kiarabu mwenye mawe ya kutosha
Labda alijipata kupitia huyo
Yaan mkurugenzi wa Hyatt ampe mawe huyo juksi ya kiasi hiko? African boy enyewe aliwaanzishia yeye na mke mwenzie mpemba, walipo sanukiana ikawa hae hae, japo kaitutumua.

Bhana wee anauza Sembe, nani hajui, Jackie kilimlamba, hana hamu kabisa, vee mwanzoni akabebeshwa akasanuka akaacha, Karen alipoambiwa pesa zinatafutwa hivi, akachomoa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huyu mpopo ndo wamekutana sasa pipa na mfuniko, c unajua wapopo kwa deals haramu ni humu tyuuh. Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ommy tumuache, tutamjadili siku ingine.
 
Nakuona ukienda kutoa ushahidi na pingu mkononi 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…