Asalaam,
Hopefully wote mpo salama na mnaendelea vizuri kabisa na shughuli zenu nzito za ujenzi wa taifa letu pendwa la Tanzania.
Well, This week niliona Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia kwa kitengo chake cha sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma kikiendesha mafunzo kwa baadhi ya viongozi wa umma. Its a very good initiative by the way, Simbachawene amefanya kitu kikubwa hapo na mzee wangu kamishina wa maadili Honourable Mwangesii.
Here is my concern, niliona coordinator (mratibu) wa mafunzo hayo yanayotolewa na Tume ya maadili ikishirikiana na Institute of Accountancy Arusha (IAA) akiwa ni former DED wa Jiji la Arusha, Dr John Pima (Ph.D) ambaye if i am half correct, sababu iliyomtoa kwenye uongozi ni kukiuka na kutofuata maadili ya viongozi wa umma among other reasons.
Sasa i am in a little bit of dilemma kwamba ni sahihi kweli mratibu wa mambo mazuri kama haya akawa na red flags kwenye maswala mazima anayoyaratibu au ndio tunafuata misemo ya wahenga kwamba “Mchawi umpe mtoto akutunzie”..???
Nadhani kuna maswali mengi yanaweza kuzuka na kuulizwa na wengi kama vitu vizuri namna hii vikiwa vinaratibiwa na watu ambao ethical standards zao ni questionable katika taifa hili. Nadhani IAA wakalitazame kwa karibu hili.
Muwe na tafakari njema.