NI sahihi Makatibu Wakuu wa sekta zilizovurunda kupewa tena nafasi kurekebisha makosa na kuchukua hatua watendaji waliopo chini yao?

Tungekua na Katiba nzuri,tulipaswa kuingia kwenye uchaguzi mkuu.
 
Je, Makatibu wakuu ni wezi au wameshindwa kusimamia taratibu?

Kwani wao ndio watendaji??
wao sio wako kwenye sera tuu?
Say Taasisi fulani inefanya vibaya
Ambayo ina wafanyakazi na Wakurugenzi Wakuu na wasaidizi wake!
Sasa katibu Mkuu anaingiaje?
Labda kuwajibika Kiuongozi??Collective responsibility,Na Kuwajibika kiutendaji labda kwa afisa,Mwanasheria,Mgavi,Mhandisi,Etc?
Wewe una amawazo gani?
 
Ni sahihi kilingana na uwezo wa kufikiri wa mtoa Maagizo. we fuata maagizo.

oova.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…