katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Hapo umemalizaMwanamke Hana dini kazi kwako
NakaziaaaaHapo umemaliza
Tena kwa maumari wa 6"Nakaziaaaa
Msumari- sorryTena kwa maumari wa 6"
Sawaaa kabisa ukisema uangalie dini unazeeka hujaolewaTena kwa maumari wa 6"
Na Wanawake mlio wengi hamlijui hiloSawaaa kabisa ukisema uangalie dini unazeeka hujaolewa
Tutashauri tu ila mwamuzi wa mwisho ni wwso mnashauri nibadili dini
Halafu jamaa yuko humu anamsomaMoyo wako unasemaje?
ndio Yesu ni njia ya kweli na uzima umenukuu sawa kabisa.Yesu ni njia na kweli na uzima mtu haji kwa Baba ila.....angali kuna roho inakufuatilia,kama wazazi wamekukatalia wasilikilize wazazi.
kasema niombe ushauriHalafu jamaa yuko humu anamsoma