Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Kweli kabisaaaaNa Wanawake mlio wengi hamlijui hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaaaaNa Wanawake mlio wengi hamlijui hilo
ilikuwaje mkuu?Achana na huo ujinga utakucost kama ilivyomkost mdogo wangu
Ipo hivi mwanzoni mwaweza fikili ni kitu simple ila at long run utajikuta hali ya kubadili dini inakutafuna wewe na watoto wako.ilikuwaje mkuu?
wewe hujui tu maisha nampenda ila kakujua hii dini ni rahisi kuachwA.Upendo wa dhati hauna dini.
Sijapata majibu hadi leo hii kati ya mkristo na muislamu ni nani hakubaliki kwa Mungu?
Mungu sio mbaguzi
Hahahaa kwa hyo maamuz binafs yanaweza kumcost mdadaHalafu jamaa yuko humu anamsoma
mimi ndio nawaza hii ndoa haina kipingami.Ipo hivi mwanzoni mwaweza fikili ni kitu simple ila at long run utajikuta hali ya kubadili dini inakutafuna wewe na watoto wako.
Wenzetu wanatumia vibaya uhuru wa kuacha huyu na kuoa mwingine.Mi nachotambua kukwaruzana kupo tu hasa kwenye kipindi cha maisha ya wanandoa sasa wenzetu kila mkwaruzo unakimbiliwa kwenye kuachwa tu.mimi ndio nawaza hii ndoa haina kipingami.
akikupa talaka tatu ndio basi.
naombeni ushauri mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda.
ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
naanataka nibadilishe dini.
kwetu ni nope .
ni imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo.
nimechoka kabisa.
naombeni ushauri.
maana wakristo hawatamkii ndoa ila nikipata waislamu.
wanadai ndoa fasta.
hata miezi sita hafikii.
so niko njia pandaa hadi now.
Huhuhu amekusikia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huhuhu amekusikia
nimewaza na kila mtu hadi padri kakataa nibadili kasema Mungu hakukosea niwe mkristo na nilaana kubadili dini ya mababu zako so niko njia panda kiukweli nimechoka kabisa.Una umri gani.?
Nenda kapate mafunzo ya Ndoa kanisani kwako, kwanza ili uelewe kwa kina zaidi nini maana ya ndoa. Kisha fanya maamuzi.
Mathayo 10:37
Apendaye baba au mama kuliko mimi, hanistahili; wala apendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.
Mathayo 10:33
Bali mtu ye yote atakayenikana mbele ya watu, nami nitamkana mbele za Baba yangu aliye mbinguni.
Kwa kweli uchaguzi ni wake.Kwa kifupi tu, kuna dada mmoja alizaliwa anaitwa Margaret. Alisoma na kupata ajira, mpaka umri wa mikaka 30 Margaret alikuwa hajaolewa.
Pressure za marafiki zilizidi. Alipotokea Ally anataka kuoa Margaret alikubali kubadili dini na kuitwa Mariamu . Ally na Mariamu walipata watoto wa tatu.
Tulikutana na Margaret siku ambayo mtoto wake alikosa nafasi kwenye shule ya RC kwakuwa nafasi wakizotoa kwa watu wa dini nyingine zimekwisha na chache walizinazo ni za watoto wa waumini wao.
Mariamu aliniambia kuona watoto wa marafiki zake wanabatizwa na kupata komunio na Kipaimara vinamuumiza sana.kabla mhujaamua maamuzi magumu jitafakari zaidi.
Sababu hizo ni nyepesi sana. Shule ziko ngapi,labda hilo la commonia(check spellling), jambo ambalo inaonyesha hakufuata ndoa bali ni mihemuko tu ili kuondoa mkosi.Kwa kifupi tu, kuna dada mmoja alizaliwa anaitwa Margaret. Alisoma na kupata ajira, mpaka umri wa mikaka 30 Margaret alikuwa hajaolewa.
Pressure za marafiki zilizidi. Alipotokea Ally anataka kuoa Margaret alikubali kubadili dini na kuitwa Mariamu . Ally na Mariamu walipata watoto wa tatu.
Tulikutana na Margaret siku ambayo mtoto wake alikosa nafasi kwenye shule ya RC kwakuwa nafasi wakizotoa kwa watu wa dini nyingine zimekwisha na chache walizinazo ni za watoto wa waumini wao.
Mariamu aliniambia kuona watoto wa marafiki zake wanabatizwa na kupata komunio na Kipaimara vinamuumiza sana.kabla mhujaamua maamuzi magumu jitafakari zaidi.