Mimi kama mwanamme wa kiislamu, ninakuashauri ...(bila shaka ushajua naelekea wapi) ,, sijaja hapa kuhubiri dini au kukushawishi uwe muislamu. ila nitakacho kuhakikishia tu ni kwamba islam is a beautiful religion.
After all muslims and christians have only one God, tofauti pekee kubwa ni kwamba wakiristo wanaamini kuwa yesu ni mtoto wa Mungu, sisi tunaamini kuwa Mungu hana mtoto wala hana wazazi, na hivyo yesu ni mtume wa Mungu. kama alivyo Muhammad ni mtume wa Mungu.
welcome to islam, hutajutia uamuzi wako. daima.