chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Uislam sio dini ya mapepo na majini,..mbinu ya kuwavuta wengi kwenda kwao na binti akitoka upande wao kwenda kwingine watamtumia mapepo na majini hadi akome
katika moja ya sheria za kiislam mwislam anatakiwa kabla hajafanya chochote lazima amlaani shetani kwa kusema "aundhu bilahi minal shetain rajim" maana:-"naomba kinga kwa mwenyeenzi mungu kutoka kwa shetani alie laaniwa"
Halafu unasema "bismilahi raham rahim" maana yake :- "kwa jina la mwenyeenzi Mungu mwenye kuneemesha neema na mwengi wa rehema" halafu ndio unafanya kile unachoaka..
Sasa hapo kuna sehemu yoyote ya kuabudu mashetani na majini,,,..
Watu wasiojua dini kama wewe ni wazuri wa kupotosha dini za watu wengine,kwani unafikiri waislamu hatuoni vipi mnavyompotosha mtume wetu Yesu(Isa) kwenye makanisa yenu kwa kutumia jina lake kutoa mapepo yenu!??..
Umeshawahi kuona msikiti gani waumini wanatolewa mapepo...
Wako Muumini wa kweli...,Bless