Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo wako ilikuwaje?Achana na huo ujinga utakucost kama ilivyomkost mdogo wangu
Neno.Hivi unaanzaje kuwaza kumwacha YESU? Unaanzaje kukana ubatizo wako! Unaanzaje kutofikiri YESU si MUNGU na wakati unajuwa ukweli
Tola tuNaombeni ushauri,
Mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
Nanataka nibadilishe dini kwetu wana imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo nimechoka kabisa.
Naombeni ushauri maana wakristo hawatamki ndoa ila nikipata waislamu wanadai ndoa fasta
hata miezi sita hafikii so niko njia panda hadi now.