Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa huandikwa na Mungu na alipangalo yeye hakika wa kulipangua hayupo km ana kheri naww hakika atakuoa mtu mzima ana maamuzi yake amueni nyinyi wawilinaombeni ushauri mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda.
ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
naanataka nibadilishe dini.
kwetu ni nope .
ni imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo.
nimechoka kabisa.
naombeni ushauri.
maana wakristo hawatamkii ndoa ila nikipata waislamu.
wanadai ndoa fasta.
hata miezi sita hafikii.
so niko njia pandaa hadi now.
Basi hata Mimi nakushauri, usichoke.nimewaza na kila mtu hadi padri kakataa nibadili kasema Mungu hakukosea niwe mkristo na nilaana kubadili dini ya mababu zako so niko njia panda kiukweli nimechoka kabisa.
ni kweli anakuachaWenzetu wanatumia vibaya uhuru wa kuacha huyu na kuoa mwingine.Mi nachotambua kukwaruzana kupo tu hasa kwenye kipindi cha maisha ya wanandoa sasa wenzetu kila mkwaruzo unakimbiliwa kwenye kuachwa tu.
najua Rc ni dhehebu ipo ndani ya dini ya kikristo ila ningekubali kuolewa nayeye kama sio yafuatayo ukigombana naye tu anakuacha mawifi je je kuongezewa mke mwingine yaani kazi sana.hivi katoliki ni dini? najijibu....sio dini ni dhehebu, dini ni Mkristo....so kama wewe ni Mkristo na umeamua kuolewa na Muislam,,,, jitafakari sana mdogo wangu.......na ukasome vema maandiko yahusuyo Uislam kabla hujaafanya maamuzi yeyote....Uislam ni dini tena nzuri sana, hata Ukristo pia...ni imani mbili tofauti.....nadhani umenielewa vizuri......
Kwani anayeolewa ni wazazi au bint mwenyewe? How come unasema "kama wazazi wamekukatalia wasilikilize wazaziYesu ni njia na kweli na uzima mtu haji kwa Baba ila.....angali kuna roho inakufuatilia,kama wazazi wamekukatalia wasilikilize wazazi.
yes...kumbe maamuzi unayo.....but watoto wanalelewa vizuri ktk misingi ya kiimani toka mwanzo.....yaani wakiwa wadogo........mke mwenza je.....jipange vemanajua Rc ni dhehebu ipo ndani ya dini ya kikristo ila ningekubali kuolewa nayeye kama sio yafuatayo ukigombana naye tu anakuacha mawifi je je kuongezewa mke mwingine yaani kazi sana.
nipo njia panda naweza olewa nikafa kama ananipenda anioe na dini yangu.
watoto wakikuwa watajua wafuate lipi.
Swala la kuongeza mke halija katazwa kisheria za dini, lakini pia haulazimishwi kuoa mke zaidi ya mmoja, tena unakuwa discouraged kama imani yako ni hafifu. Swala ni la mtu binafsi, wapo waislam wengi wasiotaka kusikia kabisa swala la mke zaidi ya mmoja. Si ajabu huyo mwenza wako hapendi hilo swalanajua Rc ni dhehebu ipo ndani ya dini ya kikristo ila ningekubali kuolewa nayeye kama sio yafuatayo ukigombana naye tu anakuacha mawifi je je kuongezewa mke mwingine yaani kazi sana.
nipo njia panda naweza olewa nikafa kama ananipenda anioe na dini yangu.
watoto wakikuwa watajua wafuate lipi.
Bwana umepata juzi Leo ndoa, hata mwezi Bado. Una bahati ya kufuatwa na majini, jitathmininaombeni ushauri mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda.
ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
naanataka nibadilishe dini.
kwetu ni nope .
ni imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo.
nimechoka kabisa.
naombeni ushauri.
maana wakristo hawatamkii ndoa ila nikipata waislamu.
wanadai ndoa fasta.
hata miezi sita hafikii.
so niko njia pandaa hadi now.
Asante,umemaliza kila kitu hadi ukoko mkuuWewe binafsi huna imani imara. Katika umri ulionao ulitakiwa kufahamu maana ya wewe kuwa mkatoliki. Mpaka sasa hivi wewe ni Mkatoliki wa kuzaliwa lakini huufahamu Ukatoliki.
wanatangaza ndoa faster kwa sababu kama ndivyo sivyo anakupa talaka faster, kitu amabacho hakipo kwenye ukristunaombeni ushauri mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda.
ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
naanataka nibadilishe dini.
kwetu ni nope .
ni imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo.
nimechoka kabisa.
naombeni ushauri.
maana wakristo hawatamkii ndoa ila nikipata waislamu.
wanadai ndoa fasta.
hata miezi sita hafikii.
so niko njia pandaa hadi now.