Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,028
Sio rahisi kiasi hicho. Unakuta mambo yanakuja kubadilika mshazaa watoto watatu au wanne, kubadili dini ina maana ndoa hakuna tena,mwanamke kuondoka ndoani kuwaacha watoto wanalelewa na mama wa kambo sio jambo rahisi. Saa nyingine itabidi ufe na tai shingoni uvumilie ndoa ngumu kwa ajili ya watoto. Inakuwa ni mateso kwa maisha yako yaliyobakia.Abadili tu akizinguliwa si anarud tu alipotoka
Acha ujinga, dini nowdays ni kampuni za watu za kukusanyia fedha. Kama unaiman juu ya uwepo wa Mungu mmoja, shughuri imekwisha.Naombeni ushauri,
Mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
Nanataka nibadilishe dini kwetu wana imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo nimechoka kabisa.
Naombeni ushauri maana wakristo hawatamki ndoa ila nikipata waislamu wanadai ndoa fasta
hata miezi sita hafikii so niko njia panda hadi now.
HatakiiFunga ndoa kiserikali kila mtu abaki na imani yake. Watoto wakikua wachague imani yao
Hakuna sababu ya kimantiki au Kisayansi kwa kusema ule ukweli, kwamba mtu fulani ni Mkristo au Muislam eti kwa sababu anaihusudu dini. Ukweli ulio dhahiri ni mmoja tu kuwa tunafuata dini kwa sababu wazazi wetu tuliwakuta wakiwa huko,nje ya hapo hakuna lolote. Na kwa sababu hiyo,tunafuata mkumbo. Huo ndiyo upande wa kwanza wa shillingi.Yesu ni njia na kweli na uzima mtu haji kwa Baba ila.....angali kuna roho inakufuatilia,kama wazazi wamekukatalia wasilikilize wazazi.
Wanaotaka ndoa fasta pia niwaachaji/divorce wa haraka. Unasema "wakristo hawataki ndoa ila nikipata waislamu wanadai ndoa fasta" SWALI.:Kwani mwenzetu umeshaliwa na wangapi?Naombeni ushauri,
Mimi ni msichana ambaye kwa muda sijawa na mtu nilitangaza hapa nimepata mtu nimempenda amenipenda ila sasa kazi ipo yeye ni muislamu.
Nanataka nibadilishe dini kwetu wana imani tosha walishakata niolewe na dini tofauti kwao juzi tumeenda hali ndio hiyo nimechoka kabisa.
Naombeni ushauri maana wakristo hawatamki ndoa ila nikipata waislamu wanadai ndoa fasta
hata miezi sita hafikii so niko njia panda hadi now.
ππππ huu uzi upo kumbe???Wanaotaka ndoa fasta pia niwaachaji/divorce wa haraka. Unasema "wakristo hawataki ndoa ila nikipata waislamu wanadai ndoa fasta" SWALI.:Kwani mwenzetu umeshaliwa na wangapi?
ππππ huu uzi upo kumbe???
Niliachana nayeUlifikia uamuzi gani?
Pole na hongera kwa maamuzi yako, kama uliyafanya bila kuadhili chochote hongera sanaNiliachana naye
Niliachana naye
Mkuu kuna watu wamezaliwa katika familia za kipagani, lakini wakisha kukua na kujitambua wanaingia dini wanayoichagua wenyewe, sasa hapo unasemaje eti wameridhi kwa wazazi? Kuna sababu nyingi. Lakini kubwa ni kuaminishwa kuhusu maisha ya kiroho ambayo ndiyo faraja ya maisha ya baadae.Hakuna sababu ya kimantiki au Kisayansi kwa kusema ule ukweli, kwamba mtu fulani ni Mkristo au Muislam eti kwa sababu anaihusudu dini. Ukweli ulio dhahiri ni mmoja tu kuwa tunafuata dini kwa sababu wazazi wetu tuliwakuta wakiwa huko,nje ya hapo hakuna lolote. Na kwa sababu hiyo,tunafuata mkumbo. Huo ndiyo upande wa kwanza wa shillingi.
Ama kuhusu upande wa pili ni ule ambapo tayari tumo humo kwa kuzaliwa na kurithi dini,sasa suala linalofuata ni judgement based on belief and truth. Hilo inategemea na mapokea na tafakuri kuu,kupembua kwa undani uhalali wa kwa nini dini hii inasema hivi,ile inasema hivi. Ni suala la judgemental decision!
Uchaguzi unabaki kwa muhusika kupembua na kuamua dini ya haki ni ipi!