Ni sahihi mimi nitoke kwenye Ukatoliki niwe Muislam?

Mwanamke anafata mumewe iwe mkoani au kiimani, kama mume muislam safi unaweza silimu tu ukawa muislamu ili muende sawa, mi mchumba wangu mkatoliki ila naona hapo ndipo tutaposhindwana ikifika muda wa ndoa!
 
kiukweli sina bahati ya kukutana na watoto wa kiislamu
 
Tola tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…