Kwan kazi yake ni kukufungulia? Si uajiri mlinziKazi yake ni nini sasa?
Sio kukutumikia kama mtumwa ni mkeo we vipi??Kazi yake ni nini sasa?
Kwa mama B wapi!!?Kwema wakuu?
Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe
"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"
Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
Safi sanaHapo hapo mkuu