Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

Nahis naww umeandika vyombo vipo hewani sasa apo kosa amna yeye katoa feeling zake
Kwema wakuu?
Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe
"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"
Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
 
Kwahiyo wewe ukalewe halafu ukija umsumbue mwenzako kwenye starehe yake ya usingizi.
Mwambie aache ujinga aheshimu hisia za mkewe

Nadhani huu ndo mfano hai wa mfumo dume mimgine ile wanakurupukaga tu kuitaja
 
Back
Top Bottom