Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

Wengi wanaochangia ni kama hawana ndoa na kama wameoa/olewa, ni wale waliozaliwa kuanzia mwaka '92, unaona kabisa wamejawa na Ubeijing
✓ Wakati mwingine funguo inaweza kupotea kisha ikawa msala kwa aliyefungiwa mlango kwa nnje kwa ATHARI zifuatazo;

1. Mke anaweza kuhitaji msaada wa ghafla ikiwa anaumwa na msaada zaidi wa karibu ukawa ni mumewe lakini bahati mbaya mtendao wa simu usiwe vizuri.

2. Anaweza kuzidiwa akashindwa kujikongoja hadi kufungua geti ili apate msaada hata toka kwa Jirani au kwa wapita njia.

✓ "Usumbufu" inamaana kurudi kwa Mumewe ni kero kwake ilihali usikute ni yeye mwenyewe ndiye sababu ya Mumewe kurudi usiku sana home tokana na gubu.

✓ Haiba ya kike huanzaga kuondoka kwa jinsi ujumbe unavyowasilishwa kwa Mumewe kwa lugha isiyo rafiki kimahusiano maana Me yeyote ajitambuaye hupenda utii toka kwa Mke.

✓ Watu wengi wameandika kimuhemuko bila ya kuangalia upande wa Me unasababishwa na ulazima upi hadi awe anamgongea Ke wake kufungua geti.

✓ Me anaweza kuajiri House Girl akawa anatelekeza yote kisha akawa Mke mwenza wa huyo Mke halali wa ndoa sababu ya uvivu wa kijinga.
 
Nimekupata vyema mkuu
 
Huyo mwanamke hayupo sawa, wengi waliocomment humu ni wanawake na wadhani ndoa ni kula, kuzaa na kulala. Yaani kwa mrindo wa fikra za humu mwanaume unakuwa kama mtu wa nyumbani yani uwahi kurudi kila siku na ujinga mwingine, wanume wana mambo mengi, unaweza kuta anachelewa kuna kazi imemtinga huko au kapitia kupata kinywaji kidogo na washikaji na kuna mambo ya msingi wanabadikiahana au tuu anapunguza mawazo kutokana na magumu anayopitia lakini wanawake wanawaza tu mme arudi mda wa kuku kulala km mke mwenza. Mwanaume ni HERO sio msaidizi wa domestic works. Ofcoz hii isizi ikawa kila siku mme anarudi usiku wa manane amelewa, HAPANA!
 
Kwema wakuu?

Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe

"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"

Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
100%
 
Ninachokiona kwenye huu uzi walevi au wanywa pombe wanaona kama wameonewa sana jaman embu mda mwingine tutumie busara zetu mtoto wa watu umemuoa ili iweje we uko zako bar unakula mvinyo alafu yeye umwache peke yake home ni uungwana kweli?

Mke anaitaji muda wako na yeye ainjoi aseme na yeye kaolewa sasa wakulungwa wenzangu mda mwingi mko kwa mama B mnakula ugimbi kwakwel itakuwa sio powa embu tujitafakari kama unaona unaitaj mda mwingi wa kutanua basi usiwai kuoa ili uzitafune vzur bia
 
Ninachokiona kwenye huu uzi walevi au wanywa pombe wanaona kama wameonewa sana jaman embu mda mwingine tutumie busara zetu mtoto wa watu umemuoa ili iweje we uko zako bar unakula mvinyo alafu yeye umwache peke yake home ni uungwana kweli? Mke anaitaji muda wako na yeye ainjoi aseme na yeye kaolewa sasa wakulungwa wenzangu mda mwingi mko kwa mama B mnakula ugimbi kwakwel itakuwa sio powa embu tujitafakari kama unaona unaitaj mda mwingi wa kutanua basi usiwai kuoa ili uzitafune vzur bia
Baada ya Mtu kusema wengi waliomtetea Ke ktk hii mada ni Ke wa Beijing na wavulana wa miaka ya 92 nawe umehitimisha waliomtetea Me ni walevi, au siyo [emoji848][emoji28]
 
Kwema wakuu?

Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe

"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"

Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?

Ujumbe uliokusudiwa uko sawa ila lugha iliyotumika siiungi mkono

Mke kukwambia jambo kwa lugha hiyo sio fair, bado angeweza kufikisha ujumbe wake kwa lugha isiyo na ukakasi kama hii.

Mfano angeweza kukwambia uchukue ufunguo ili kurahisisha unaporudi uingie ndani mapema maana unaweza kukuta amesinzia ukagonga muda mrefu, kiusalama sio vizuri kugonga mlango muda mrefu vibaka wanaweza kukuteka ukiwa mlango kwako unasubiri kufunguliwa
 
Lugha iko sahihi kwa nini kuremba remba
 
Ninachokiona kwenye huu uzi walevi au wanywa pombe wanaona kama wameonewa sana jaman embu mda mwingine tutumie busara zetu mtoto wa watu umemuoa ili iweje we uko zako bar unakula mvinyo alafu yeye umwache peke yake home ni uungwana kweli? Mke anaitaji muda wako na yeye ainjoi aseme na yeye kaolewa sasa wakulungwa wenzangu mda mwingi mko kwa mama B mnakula ugimbi kwakwel itakuwa sio powa embu tujitafakari kama unaona unaitaj mda mwingi wa kutanua basi usiwai kuoa ili uzitafune vzur bia
Kurudi Saa mbilii ndo mwanamke anaanza kufoka hivii?..
 
Kama anachelewa mara kwa mara na hana sababu ya msingi huyo mwanamke mwenzangu yupo sawa kabisa. Ila kama ni kazi ndo zinamchelewesha huyo dada kakosea kutuma hiyo sms.
 
Back
Top Bottom