KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Bwn ka huyu unashindwa hata kuandaa ka dinner kazuri muenjoy wote homeStarehe zako ziwabugudhi na wengine, ni shida kuwa na limtu linalorudi wengine washalala mi watu wa hivyo sijui hata mapenzi huwa wanafanya sa ngapi?
Muraaa!! usirete mambo cha tarime! tarime hapa!!...washa makofi uone utakavyo pigwa jera ya Tabora B'' Kuree sasa ni ri zamu rako kuorewa na wewe!...Mchi ga konywa utaita Mayi!....Hiyo message imekaa kidharau dharau flani hivi.eti kuepuka usumbufu, inamaana mtu kurudi nyumbani kwake akagonga mlango ni usumbufu?
Washa makofi huyo akili ikae sawa.
wewe unajua wale kwa mpalange ni suuuna!Hapa ndo utapenda kuwa na mume muislamu na hanywi pombe
Hamna kadhia kama hizi
Sio kweliwewe unajua wale kwa mpalange ni suuuna!
Hapo unakuta jamaa katoka job mapema tu then anaunganisha kwa mama B hadi saa 6 au anarudi home toka jopengine saa 12 jioni then baada ya kuoga na kubadili viwalo anachomoka tena hadi usiku wa manane ndio anarudi kugonga geti.Na kwanini asiwahi kurudi kabla mkewe hajalala?, siyo vizuri unachelewa home na kumbe upo Bar
Kazi yake ni nini sasa?
Na yeye ni binadamu ana haki ya kusema ya moyoni, wanawake wana majukumu mengi yanayochosha wanastahili pumziko"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"
Hata nikikwambia huwezi elewa. Endelea jinsi ulivyo mi nimeshangaa tu sina uwezo wa kukubdiloshaAjabu gani mkuu?
na simtaki kwakweliBwn ka huyu unashindwa hata kuandaa ka dinner kazuri muenjoy wote home
Hajui Yuko wap akati umesema mpo mnapiga Tungi? Kuna watu wakishaamshwa usingz hawapati tenaHajui hata niko wapi nafanya nini?
Tunatakiwa tufunge ndoa na watu tunaofanana nao.Sio kukutumikia kama mtumwa ni mkeo we vipi??
Kwamba kazi yake ni mlinzi sioKazi yake ni nini sasa?
Shida ya wanaume ni kuona mke kama mama yake amemletea Dada wa kazi ili amfanyie kila kitu, ndiyo maana utasikia, nifulie hizi nguo, niwekee maji bafuni, chakula tayari? NkHakuna tatizo.. unless umemgeuza mkeo ni Gatekeeper..
Hivi hao marafiki zenu hawapo humu JF mpaka kila siku muwe mnawasaidia kuwaulizia humu?Kwema wakuu?
Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe.
"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"
Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
Yaan ushindwe kulala umeubiri mtu ambaye yuko kwa starehe zake khaaKwa nini alale kabla jamaa hajarudi?