Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

Hiyo message imekaa kidharau dharau flani hivi.eti kuepuka usumbufu, inamaana mtu kurudi nyumbani kwake akagonga mlango ni usumbufu?
Washa makofi huyo akili ikae sawa.
Muraaa!! usirete mambo cha tarime! tarime hapa!!...washa makofi uone utakavyo pigwa jera ya Tabora B'' Kuree sasa ni ri zamu rako kuorewa na wewe!...Mchi ga konywa utaita Mayi!....
 
Na kwanini asiwahi kurudi kabla mkewe hajalala?, siyo vizuri unachelewa home na kumbe upo Bar
Hapo unakuta jamaa katoka job mapema tu then anaunganisha kwa mama B hadi saa 6 au anarudi home toka jopengine saa 12 jioni then baada ya kuoga na kubadili viwalo anachomoka tena hadi usiku wa manane ndio anarudi kugonga geti.
Hivi kwanini asigonge vyombo home na mkewe?
 
"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"
Na yeye ni binadamu ana haki ya kusema ya moyoni, wanawake wana majukumu mengi yanayochosha wanastahili pumziko
 
Hili nalo ni lakuja kusema huku. Mkuu chukua funguo ukirudi unaingia naamini utakuta maji ya kuoga kwenye thermos, chakula mezani ila ingia ulale usimsumbue mkeo kama ni mzigo omba alfajiri
 
Yuko sahihi asilimia mia Mimi nalewa na ninarud mida mibovu ninachokifanya nikijua siwahi hua magizo funguo itolewe Kwa kitasa Nijenifungue na funguo yangu
 
Kwema wakuu?

Kuna jamaa angu tuko nae hapa kwa mama B grocery tunapiga vyombo katumiwa na mkewe hii text. Kaniomba ushauri amjibu nini mkewe.

"Najisikia kuchoka nahitaji kupumzika, uwe unatoka na funguo kupunguza usumbufu"

Ni sahihi mkewe kumtumia huu ujumbe?
Hivi hao marafiki zenu hawapo humu JF mpaka kila siku muwe mnawasaidia kuwaulizia humu?
 
Back
Top Bottom