Ni sahihi mkeo kukutumia text kama hii?

Kuna wanaume wenzetu ni maamuma wazungu wa reli...

Mkigongewa wake zenu, ndio mnakuwa wa kwanza kufanya mauaji ilihali hamuwajali...
Halafu wanataka wapewe heshima kama wafalme kenge hao.
 
Hakuna tatizo hapo , sana sana jamaa alipaswa kushtuka kuwa huwenda ana Tabia mbaya ambazo hazimpendezi mwenza wake na Zina weza kuchangia Uharibifu wa penzi lao
Kwani wana akili hiyo sasa???!!! Baadhi ya wanaume wakioa wanadhani wamekuwa wafalme, that they can do whatever they like and they don't want to be questioned. Wanadhani mwanamke ni machine tu you have to program and control IT however you like.
 
Reactions: nao
Jamaa ulihisi unagongewa nn[emoji23][emoji23][emoji23]
Hajakosea kaka
 
Yupo sahihi kabisa!!
Mpe pole kwa niaba yangu🤗
 
Mi naona yupo sahihi.. kumuamsha mtu aliyelala akufungulie sio fair
Sio aje amfungulie bali
Kumuamsha mtu alielala usiku wa manane aje amfungulie mlevi sio fair kabisa.
 
Sa hapo kuna ubaya gani? Ndio awe anatoka na funguo zake ili aache kuja kumsumbua akiwa amesha pumzika.
Na vipi kuhusu mgegedo kama tu kuamka kumfungulia mlango mume wake anaona usumbufu inakuwaje huyo mume akitaka tendo kwa huo mda anaotoka matembezini?.

Wanawake wasikwepe majukumu yao jamani ndo maana ndoa za siku hizi hazidumu sabb ya vitu vidogovidogo tu kama hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…