Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Halafu wanataka wapewe heshima kama wafalme kenge hao.Kuna wanaume wenzetu ni maamuma wazungu wa reli...
Mkigongewa wake zenu, ndio mnakuwa wa kwanza kufanya mauaji ilihali hamuwajali...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wanataka wapewe heshima kama wafalme kenge hao.Kuna wanaume wenzetu ni maamuma wazungu wa reli...
Mkigongewa wake zenu, ndio mnakuwa wa kwanza kufanya mauaji ilihali hamuwajali...
Kwani wana akili hiyo sasa???!!! Baadhi ya wanaume wakioa wanadhani wamekuwa wafalme, that they can do whatever they like and they don't want to be questioned. Wanadhani mwanamke ni machine tu you have to program and control IT however you like.Hakuna tatizo hapo , sana sana jamaa alipaswa kushtuka kuwa huwenda ana Tabia mbaya ambazo hazimpendezi mwenza wake na Zina weza kuchangia Uharibifu wa penzi lao
Kivipi mkuu?
Kwa nini alale kabla jamaa hajarudi?
Tena akuamshe kisa ametoka kwenye mipombe yake hapana aisee achukue funguo apambane na mlango akirudiMi naona yupo sahihi.. kumuamsha mtu aliyelala akufungulie sio fair
Sio aje amfungulie baliMi naona yupo sahihi.. kumuamsha mtu aliyelala akufungulie sio fair
Khaaaa.....aiseee wanaume kama wewe kumbe bado mpo? so mke haruhusiwi kulala kama mume hajarudi? Kwamba yeye sio binadamu hachoki na hapati usingizi?Kwa nini alale kabla jamaa hajarudi?
Naona huyo jamaa yako amegeuka kuwa wewe 😅😅😅Hajui hata niko wapi nafanya nini?
Na vipi kuhusu mgegedo kama tu kuamka kumfungulia mlango mume wake anaona usumbufu inakuwaje huyo mume akitaka tendo kwa huo mda anaotoka matembezini?.Sa hapo kuna ubaya gani? Ndio awe anatoka na funguo zake ili aache kuja kumsumbua akiwa amesha pumzika.