kiumbempole
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 593
- 983
It is simply not true
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndounafeli kwa mawazo finyu ilo ni swali n lipo very open jibu lako linaweza kuwa na msaada kiushauri kwa mtu kama wengine wafanyavyo ila sababu unawaza na .....
Pole, humu kuna watu wa kila aina, take it easy.Pole nilipitiwa katika hali ya kukwazika
Haya sasa twende kwenye hoja yako, mimi kama baba binti yangu nitamwacha afike 32 to 33, kama hajaolewa, azae tu aniletee mjukuu nilee.It wont happen again asante
Haya sasa twende kwenye hoja yako, mimi kama baba binti yangu nitamwacha afike 32 to 33, kama hajaolewa, azae tu aniletee mjukuu nilee.
BTW: wewe mwanamke ndio mwenye maamuzi ya mwisho kwa mwili wako.
Ila nimeshuhudia wanawake wasio na watoto wanateseka sana.
Ndio maana mastar kama Diamond wanaishi wanavyotakaThe funny thing about critics is whatever u do
Whichever side you choose good or bad there will be haters
Mimi binafsi nashukuru kwa kiasi fulani nimetoka kwenye hicho kifungo.Ni kweli usemacho ila wengi tumefunikwa na mawazo ya jamii ni ngumu kufanya ukitakacho
Ishi sehemu ambayo hao ndugu utakutana nao mara chache kwenye matukio ya msingi.Ni njia nzuri ntaiga hapa ila ndugu wa karibu huwezi wakimbia
ni sawa akisubiri ndoa,navofahamu katika mafundisho ya dini zetu tunazo sali sidhani kama kuna dini au dhehebu amabalo linahamasisha au kufurahishwa na muumini wao kupata mtoto nje ya ndoa,Uzuri wakupata mtoto ndani ya ndoa ni kwamba unajihakikishia malezi ya mtoto na upendo baina ya wazazi wawili maana watakuwepo pamoja,ukipata mtoto nje ya ndoa hatari yake nikwamba kuna uwezekano mkubwa mtot kukosa malezi ya wazazi wote wawili maana nje ya ndoa ni ngumu wazazi wote wawili wawe wanakaa pamoja mda wote wa maisha yao ya malezi,
Nakitu kingine cha muhimu katika maisha watu wasichokijua nikwamba,sisi binadamu tunamapungufu kila mtu na kiasi chake,mnapokua kua wazazi wawili mnaishi pamoja husaidia katika malezi haswaa mtoto wenu asibebe mapungufu ya mmoja.Mfano mmoja wenu ni mlevi au kahaba na mwingine sio mlevi wala kahaba,endepo yule mlevi au kahaba akimlea mtoto peke yake,mtoto yule aliekuzwa katika mazingira ya ulevi na ukahaba ataona kumbe ni jambo lakawaida kuishi maisha ya ulevi na ukahaba maana aliyaona kwa mzazi,maana watoto huamini sana katika mambo yanayofanywa na wazazi wao kuliko yale yakuambiwa,huyapa uzito zaidi mambo wanayoyaona yakitendwa na kuyaiga kwa haraka.
Lakini kama wazazi wote wakiwepo wakimlea ni vigumu mtoto kuiga tabia upande mmoja yote na ni rahisi pia mzazi mmoja kumrekebisha mwenzake katika yale mapungufu yatakayojitokeza katika maisha yao,na hii kupelekea katika uboreshaji ya malezi ya mtoto yule maana ataona baba mlevi lakini mama anamkataza kila siku kumbe atagundua ulevi sio kitu kizuri,au mama anatabia za ukahaba lakini kutokana na uwepo wa baba anaona kila siku baba anaipinga vita ile tabia,hapo kichwani kwa yule mtoto anakua huku akigundua kumbe hili ni tatizo,sasa angekuwepo mzazi mmoja tuu kungekua hakuna wakumrekebisha mwingine na mtoto angeibeba hio tabia ya mzazi mmoja,kama haifai ndo angekua nayo na kama inafaa ndo hivo pia ishakua yake.
Siku hizi hata wizi,ujambazi na tabia nyingine za kihuni zinaongezeka kwa sababu watoto wengi asilimia kubwa ni wa nje ya ndoa na wazazi wale hawakuweza kuendelea kua pamoja,na hii kupelekea mzazi mmoja kushindwa kumthibiti mtoto katika malezi yanayovaa,na wakati mwingine mzazi huyo alieachwa na mtoto anakua katika frustrations na kupelekea hata yeye kuwatelekeza watoto au kutowajali haswa katika malezi maana hawezi kuwafatilia na wakati huo huo ahangaike na shughuli nyingine ukizingatia pia labda yupo katika mahusiano mengine sio ya baba wa yule wa mtoto wa kwanza,na hii kupelekea kutanga kwa watoto au kuanza kulelewa na watu wengine ambao ni ndugu na mwishowe watoto kujiingiza katika makundi yakihuni na tabia zisizofaa katika jamii,
Ndoa ndo kitu pekee amabcho kwa asilimia kubwa itakuhakikishia utaishi na mwenzako milele labda kwa mapenzi ya Mungu itokeee kutengana na hii kukuhakikishia kulea watoto wako mkiwa wawili, mzigo ukibeba peke yako ni mzito lakin mkibeba wawili hautakua na uzito sawa na ulivokua ukiubeba peke yako,Nadhnai utakua umeelewa hio kauli
Mkuu umebase kwenye swala la ndoa ila ningependa kujua kwa upande wako unaona ni sawa au si sawa binti kutoka nyumbani kwenda kupanga mbali na nyumbani kwao
Katika hili naweza sema mzazi inabidi aangalie akili ya mwanae ilivo,unajua kuna kichwa na kichwa chakutoka nyumbani na kwenda kujitegemea,na pia swala lingine la kuliangalia ni shughuli anazofanya huyo mtoto,anaweza kawa ameajiliwa mahali mbali na nyumbani na gharama za usafir ni kubwa akiwa anatokea nyumbn kwenda katika ajira.Kwa mazingira hayo au hali hii wazazi wanawajibu wakuwapa vijana wao wa kike na kiume mafunzo yatakayo wasaidia wakiwa wanaishi wenyewe,haya mafunzo yatakua sawa yakitolewa katika umri fulani sio tuu kila rika,ukishaona mwanao sasa anaelekea kujitegemea hapo kuna mambo yakumuweka wazi ili agundue nini haswa kinachotakiwa kufanywa na kwa wakati gani,Unajua katika maisha kinachotakiwa nikujitambua kwamba unawajibu fulani katika jamiii na familia uliotoka na mpya unayotegemea kua nayo wewe kama wewe,pia jambo lingine wazazi wawape watoto wao au vijana wao exposure yakutosha ili watambue katika umri wao watu wanafanya nini.sasa mtu akiweza kutambua hili ni sawa tu akienda kupanga mbali na nyumbani bila kujali jinsia yake.
AhahaaaaaKwa nini uzae mtoto uzeeni? Huko ni kukwepa majukumu. Unataka ufe utuachie "mjukuu" wako amlee nani? Natania 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
kma atakuwa bikra sawa ila kama hana sioni sababu kujichelewesha kupata mtoto kwa kigezo cha ndoaNaomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa
Kwani kuzaa mtoto lazima?Naomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa