Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Mkuu issue ni kwamba Watanzania wengi sheria hatujui.Kisheria ni nyumba ya familia .ila kiungwana wanapaswa wakuachie ila unawezaje kuishi kwa kutegemea uungwana ww familia?
Kwa sheria za Tanzania hata nchi nyingi hasa hapa kwetu kitu alichofanya Ashraf hakimi wa morroco kwa hapa TZ ME wasijaribu maana TZ ndugu wa mama zetu wanaweza kurithi mali ya mama sheria inaruhusu. Yani mjomba mama mkubwa na mama mdogo.
Hata upande wa Baba zetu .
Ndugu zake kama Baba mkubwa , Baba mdogo na shangazi wanaweza rithi mali za ndugu yao.
Ila wengi wanaamua kuwaachia watoto tuu , ila wapo na wao wanaotaka mgao na wanagawana.
Kumuandikisha mzazi mali yako ni mbaya sana hasa ndugu wakiwa wokorofi na kama Baba kazaa na wanawake zaidi ya mmoja na mama kazaa na mwanaume zaidi ya mmoja .