Ni sahihi Rais Traore kukutana na maraisi huko Russia akiwa na bastola kibindoni?

Ai
Itifaki hairuhusu kiongozi yoyote mgeni kubeba siraha mbele ya viongozi wengine. Hayo anafanya akiwa nchini kwake sio nje.
 
40% ya Burkina Faso inamilikiwa na magaidi. Serikali kuna sehemu haiendi wala hakuna watumishi wa umma raia wanaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu.

Bado nchi ina safari ndefu
 
Endeleeni kumpiga wenu na viatu
 
Mm naona ni sawa Kwan kama hao Marais wahalifu wala wezi wala mafsad wanaogopa nn? Pili pili ya shamba inawawashia nn?
 
Tafuta mtandaoni magazeti ya Burkina Faso then translate to kiswahili uweze kusoma habari za huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…