Out of topic
kama unapenda wanafunzi mshonee mkeo uniform na shati jeupe akirudi tu job anazivaa
Nimewahi kumuona Zuchu anaimba akiwa kama na mavazi ya wanafunzi, pia nimewahi kuona Bangor la picha ya maigizo bongo muigizaji kavaa sketi kama mabinti wa shule. Hii ni sahihi
View attachment 3443916
Kuna kitu kinaitwa "SARE" za Wanafunzi?Nimewahi kumuona Zuchu anaimba akiwa kama na mavazi ya wanafunzi, pia nimewahi kuona Bangor la picha ya maigizo bongo muigizaji kavaa sketi kama mabinti wa shule. Hii ni sahihi
View attachment 3443916