Ni sahihi wanamuzuki watu wazima kuimba wakiwa wamevaa mavazi ya wanafunzi wa shule?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Nimewahi kumuona Zuchu anaimba akiwa kama na mavazi ya wanafunzi, pia nimewahi kuona Bangor la picha ya maigizo bongo muigizaji kavaa sketi kama mabinti wa shule. Hii ni sahihi
 
Hv kumbe mtu akivaa hvy anakuwa amevaa nguo za shule, eh bc Mm n mshamba 😂
 
Kuna hadi wanaume humu wana akaunti za kike.

CHAPATI KABISSAAAA
 
Kwani shida wapi ifu wana malengo yao? si bora hawako ihcu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…