MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mbinguni utapasikia jambazi weweHuyo hajielewi,mwanaume anapewa hela bure Tu na anaambiwa asirudishe kwa sauti ya mahaba kabisa,ila unakuja kumpiga mzinga mrefu kuliko ulichompa🤗🤗🤗🤗🤗
Once your thithiem wewe ni zwazwa automatically huwezi kua na akili, mpaka hapo hujioni kama wewe ni bata? Sad enough huwezi kujua.Wakuu inakuwaje mwanamke wako asiyefanya biashara ya kukopesha ukimwomba akukopeshe lazima aweke riba ya mwezi mmoja? Hapa kuna mapenzi kweli? Cha kushangaza anataka attention yako balaa. Kila mara SMS & calls. Hii imekaaje? Kukopeshwa sio tatizo, riba ndo tatizo.
Cha bure salamu!!Mbinguni utapasikia jambazi wewe
Ata salam siku hizi hamtak mnauchunaCha bure salamu!!
Salamu haitii mimba kuuchuna ni ushamba!Ata salam siku hizi hamtak mnauchuna
Kuna hela ina alama kuwa ni ya mwanamke? Hela haina jinsiaKwanini ukope hela ya mwanamke kwanza?
Hapana mkuu. Huu ni ushenzi. Riba na mapenzi ni hatari.Uyo ana akili ya kutengeneza pesa muoe haraka sana
Ni mchumba.Ni mke wako au demu wako?