Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Nawe akiwa na shida usimpe pesaNi mchumba.
Nawe akiwa na shida usimpe pesaNi mchumba.
"Once your"??? Wewe nyumbu andika "Once you are".....Once your thithiem wewe ni zwazwa automatically huwezi kua na akili, mpaka hapo hujioni kama wewe ni bata? Sad enough huwezi kujua.
😅Kuna hela ina alama kuwa ni ya mwanamke? Hela haina jinsia
Typing error mbwa wewe."Once your"??? Wewe nyumbu andika "Once you are".....
Muonye mamako aache kunikopesha hela kwa riba.Typing error mbwa wewe.
Duh!Wakuu inakuwaje mwanamke wako asiyefanya biashara ya kukopesha ukimwomba akukopeshe lazima aweke riba ya mwezi mmoja? Hapa kuna mapenzi kweli? Cha kushangaza anataka attention yako balaa. Kila mara SMS & calls. Hii imekaaje? Kukopeshwa sio tatizo, riba ndo tatizo.
Mbona nasikia unakopesha icho kinyeo.Muonye mamako aache kunikopesha hela kwa riba.
Ulijuaje? Huyu ni binti wa kichaga typicalPole sana umeoa mchaga eeh
Hakuna uzi nimewahi kuandika akakosekana mwendawazimu mmoja kwenye comments. Leo naona umejitolea hiyo nafasi. Hongera sana Ndugu Yohimbe.Mbona nasikia unakopesha icho kinyeo.
Hela ya mpenzi hasa mwanamke ya kuwa nayo makini sana. Nilishawai pewa hela na mpenzi wangu, badae alikuja kunitolea maneno mabovu hadi nilibaki nashangaa. Hela aliyonipa akageuza nilienda kuhongaWakuu inakuwaje mwanamke wako asiyefanya biashara ya kukopesha ukimwomba akukopeshe lazima aweke riba ya mwezi mmoja? Hapa kuna mapenzi kweli? Cha kushangaza anataka attention yako balaa. Kila mara SMS & calls. Hii imekaaje? Kukopeshwa sio tatizo, riba ndo tatizo.
Lakini mkuu hii sio ya kupewa. Ni mkopo. Mimi shida yangu ipo kwenye riba.Hela ya mpenzi hasa mwanamke ya kuwa nayo makini sana. Nilishawai pewa hela na mpenzi wangu, badae alikuja kunitolea maneno mabovu hadi nilibaki nashangaa. Hela aliyonipa akageuza nilienda kuhonga
- Scenerio: Unampa 100,000 ya matumizi yake binafsi, ila hapo hapo atakudai ile 5000 aliyokuazima.Ee huku ni kunyonyana mpaka damu yaani unamkopa mke unanunua chakula cha usiku mle wote halafu urudishe na riba hii hamna kabisa
Wewe kaza fuvu tuLakini mkuu hii sio ya kupewa. Ni mkopo. Mimi shida yangu ipo kwenye riba.
Wanawake mnashauriana upumbavu sana huko saloon.Wakuu inakuwaje mwanamke wako asiyefanya biashara ya kukopesha ukimwomba akukopeshe lazima aweke riba ya mwezi mmoja? Hapa kuna mapenzi kweli? Cha kushangaza anataka attention yako balaa. Kila mara SMS & calls. Hii imekaaje? Kukopeshwa sio tatizo, riba ndo tatizo.