Ni sahihi wapenzi kukopeshana pesa kwa riba?

Ni sahihi wapenzi kukopeshana pesa kwa riba?

Wakuu inakuwaje mwanamke wako asiyefanya biashara ya kukopesha ukimwomba akukopeshe lazima aweke riba ya mwezi mmoja? Hapa kuna mapenzi kweli? Cha kushangaza anataka attention yako balaa. Kila mara SMS & calls. Hii imekaaje? Kukopeshwa sio tatizo, riba ndo tatizo.
Penzi la kausha damu hilo. Kimbia mapema sana
 
Wakuu inakuwaje mwanamke wako asiyefanya biashara ya kukopesha ukimwomba akukopeshe lazima aweke riba ya mwezi mmoja? Hapa kuna mapenzi kweli? Cha kushangaza anataka attention yako balaa. Kila mara SMS & calls. Hii imekaaje? Kukopeshwa sio tatizo, riba ndo tatizo.
Huyo hajui kung'ata na kupuliza. Unampa afu kumi then unatuliaaa, unakuja kuomba laki mbili.
 
Huyo hajielewi,mwanaume anapewa hela bure Tu na anaambiwa asirudishe kwa sauti ya mahaba kabisa,ila unakuja kumpiga mzinga mrefu kuliko ulichompa🤗🤗🤗🤗🤗
Kama ulikuwa kichwani kwangu🤣🤣🤣
Namna hiyo ndivyo inavyotakiwa.
 
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.

Bei tsh. 23,000,000.00

Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga.
 
Back
Top Bottom