Ni sahihi wapenzi kukopeshana pesa kwa riba?

Duh!
 
Hela ya mpenzi hasa mwanamke ya kuwa nayo makini sana. Nilishawai pewa hela na mpenzi wangu, badae alikuja kunitolea maneno mabovu hadi nilibaki nashangaa. Hela aliyonipa akageuza nilienda kuhonga
 
Hela ya mpenzi hasa mwanamke ya kuwa nayo makini sana. Nilishawai pewa hela na mpenzi wangu, badae alikuja kunitolea maneno mabovu hadi nilibaki nashangaa. Hela aliyonipa akageuza nilienda kuhonga
Lakini mkuu hii sio ya kupewa. Ni mkopo. Mimi shida yangu ipo kwenye riba.
 
Ee huku ni kunyonyana mpaka damu yaani unamkopa mke unanunua chakula cha usiku mle wote halafu urudishe na riba hii hamna kabisa
- Scenerio: Unampa 100,000 ya matumizi yake binafsi, ila hapo hapo atakudai ile 5000 aliyokuazima.
 
Wanawake mnashauriana upumbavu sana huko saloon.
Kwanini mtukopeshe Hela sisi wanaume Kwa riba?
Hii tabia mmezoea huko kwenye vikundi vya Kausha damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…