Ni sahihi wapenzi kukopeshana pesa kwa riba?

Mwambie Mama Samia akulipie riba, usituletee taharuki mitandaoni jinga kabisa.
 
Ni mchumba.
Mkuu mteme huyo kimya kimya Fanya usajili mwingine na huyo mpe Thank you, Inatakiwa uwe na wachumba zaidi ya wawili ndiyo utajua yupi afadhari lakini mwaka mzima unakua na Mwanamke mmoja tu hii ni hatari unakua unakosa uzoefu na baadae utajilaumu ukishaoa tu ndiyo unakutana na Mwanamke mweye akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…