Ni sahihi watumishi wa umma kumiliki simu mbili au zaidi kila moja ikiwa na thamani ya zaidi ya milion mbili?

Madee aliwaiwa kuimba ivi

Wivu Tamaa na nja ukiendekeza juu ya kidole utaka aaaah
Mkuu chunga sana kipengele cha wivu
 
Angalia hali hiyo huwa inaleta maradhi ya sonona na vidonda vya tumbo
 
Mtoa mada pitia hapa kwa Mangi upate maji yakushushe presha
 
Dah,

Ukisikia maisha yametinga kitop ndo sasa, yaani ndo tumefika huku...!

Mtu ateseke kutafuta mwenyewe lakini wakati wa kupanga matumizi unalilia akuite, ili iweje sasa.....!
 

[emoji1787][emoji1787]utajuaje km amekopa? Na kama kahongwa je? We yakuhusu nini?
 
Kwamba ndugu zako wakiwa na shida ndo usinunue simu nzuri? Kwamba kisa Watanzania wanashida ndo usiishi upendavyo kisa ni utumishi wa umma sijui kijiko?
 
Itafika mahali mtu akienda benki kukopa anaulizwa amewezaje kupata dhamana.
 
Umaskini Mbaya sana aisee.

Wanyabi, Tusake Shekeli kwa bidii zote
 
Acha wivu wewe
 
Mbuzi kabisa wewe... Pumbavu kabisa kama ban na nipigwe tu nilishazoea.
umeandika ushuzi gani huu
 
Nje Ya Mada Hoja Yako Inaweza Kuingia Kwenye Ile Ya DED Geita
 
Nimecheka Sana hizi comments[emoji3][emoji3]..but huyu mkuu anaonekana Ana degree ya ushirikina kasoro zana za Kazi.....kupangia wenzie majukumu...wewe unajuaje Kama Ana ndugu Kijiji wanamtegemea?
 
Yamkini angeacha kununua simu hizi zisizo na kazi angewekeza kwenye biashara na angeajiri watu kadhaa tatizo la ajira lingepungua..

Ki msingi mkuu, hueleweki, yaani umeanza kwa kuhoji mishahara yao, na pesa watoa wapi, kisha unamaliza kwa kuwapangia nini cha kufanya kwa kutumia pesa zao.

Shida ni simu, au shida ni matumizi ya pesa zao binafsi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…