Ni sahihi watumishi wa umma kumiliki simu mbili au zaidi kila moja ikiwa na thamani ya zaidi ya milion mbili?

Ni sahihi watumishi wa umma kumiliki simu mbili au zaidi kila moja ikiwa na thamani ya zaidi ya milion mbili?

Nani Tena huyo anaempangia mtumishi na mshahara wake
 
Conclusion...watumishi was serekali kumiliki Simu nzuri Ni ufisadi...Sasa tuhamie kwenye nyumba zao...wakae nyumba za nyasi...Kumiliki nyumba ya zaidi ya million 15Ni UFISADI
 
Back
Top Bottom