Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣Kitamramba🥴We jipendekeze tu.... Jifanye una upendo ukweni.... utapata majibu...
Hapana, utafanya hayo sana hapo baadae. UtulieWakuu hivi kama umepeleka barua kwa mwanamke umejibiwa mahari ni kiasi Fulani
Je ni sawa kuwasiliana nao labda mama mkwe kumjulia Hali au baba mkwe kumsalimu ni sawa au miyeyusho??
Hatoamini nakwambia..... Yaani mi sa hivi sijui naenda mwaka wa pili ama watatu sijawahi kumpigia Cha shemeji,mama mkwe sijui nani ...hakuna kabisa .... Kilichonikuta kujifanya "family" maana ni tumekuwa mtaa mmoja tumesoma Shule Moja tumetengana chuo tu ..so mabraza zake walikuwa washikaji kinomanoma ,masister zake ...kilivyoniramba ...nikasemaa eeeeh kisu kimegusa mfupa....🤣Kitamramba🥴
Hata baadae hakuna kufanya..Wacha wawasiliane na mtoto wao kama Kuna changamoto... We jifanye "customer care tu kupigapiga ukweni kuulizia ubora wa huduma wa mtandao wako"... Hutaamini...Hapana, utafanya hayo sana hapo baadae. Utulie
Unashirikishwa mpaka harusi ya kirembwe upande wa bibi mza mama dadayake na mama mdogo ....hatari sana ....Ngoja siku wafiwe wakupe msiba usimamie mazishi mpaka chakula pesa zikutoke mpaka uishiwe nauli ya kurudi kwenu ukweni sio pakupazoea
Na jina lako linakuwa la kwanza watu watakao changia pesaUnashirikishwa mpaka harusi ya kirembwe upande wa bibi mza mama dadayake na mama mdogo ....hatari sana ....
Hao ni wachagga na watu wa TangaNgoja siku wafiwe wakupe msiba usimamie mazishi mpaka chakula pesa zikutoke mpaka uishiwe nauli ya kurudi kwenu ukweni sio pakupazoea
Mwanaume kuwa busy na familia yako hapo kwako at least mwanamke ndiyo awe mwepesi kwenda kutembelea wazazi wako ila siyo marazote... sometimesHatoamini nakwambia..... Yaani mi sa hivi sijui naenda mwaka wa pili ama watatu sijawahi kumpigia Cha shemeji,mama mkwe sijui nani ...hakuna kabisa .... Kilichonikuta kujifanya "family" maana ni tumekuwa mtaa mmoja tumesoma Shule Moja tumetengana chuo tu ..so mabraza zake walikuwa washikaji kinomanoma ,masister zake ...kilivyoniramba ...nikasemaa eeeeh kisu kimegusa mfupa....