sauti nzito
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 171
- 234
Abood ndo wamejitofautisha zaidi ila sio kwa ShabibyNadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania
N maudhui gani ambayo unaona yanatazamwa na kila mtu?Ni upumbavu sana kwenye usafiri wa umma kuweka mahudhui ya kidini.
Maana mule kuna mchanganyiko wa imani mbalimbali. Wengine wanakwazika
Usafiri wa umma!!Hayo nafikiri ni maamuzi binafsi ya mwenye usafiri kama unaona ni kero kwako unaweza kutafuta usafiri utakaokuwa na maudhui uyapendayo
Yoyote yale yasiyo ya kidini na yanayozingatia maadiliN maudhui gani ambayo unaona yanatazamwa na kila mtu?
Basi waambie watangaze kuwa kwenye bus lao kuna maudhui ya kikristo tu au ya kiislamu tu ili tusipande kabisa. Na sio kusubiri tumepanda ndo wafanye wanavyotaka, na ndio maana mwanzo kabisa tumesema kulazimisha maudhui.Hayo nafikiri ni maamuzi binafsi ya mwenye usafiri kama unaona ni kero kwako unaweza kutafuta usafiri utakaokuwa na maudhui uyapendayo
Huyo hana uwezo wa kuelewa, hiyo mada ni kubwa sana kuliko uwezo wake wa kudadavua mambo😊Usafiri wa umma!!
Unaelewa maana yake????
Watoto wenu wana hasara!!
Yako mengi tu, usitutoe kwenye mada😀Yoyote yale yasiyo ya kidini na yanayozingatia maadili
Usitutoe kwenye mada ili tubaki kwenye kulazimishiwa maudhui😊Nenda straight, taja moja
Nakutoa kwenye mada kivipi, em taja maudhui moja tuu inayotizamwa na kila mtu acha maneno mengi.Usitutoe kwenye mada ili tubaki kwenye kulazimishiwa maudhui😊
Yako mengi tu, usitutoe kwenye mada😀
Kuna mabasi huwa naona wanaweka bongo movies, movies za mambele, comedy, miziki ya bongo na njeNenda straight, taja moja
Kuna uzi niliona twitter x wanalalamika Azam media kuweka movie za kutiwa maneno ya kiswahili zenye maudhui ya dini fulani 🤔Nakutoa kwenye mada kivipi, em taja maudhui moja tuu inayotizamwa na kila mtu acha maneno mengi.
Wewe ni kiazi, ile ni public service ndo maana hata nauli hawajipangii🤣🤣, hatujaongelea taxi hapaHayo nafikiri ni maamuzi binafsi ya mwenye usafiri kama unaona ni kero kwako unaweza kutafuta usafiri utakaokuwa na maudhui uyapendayo