sauti nzito
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 171
- 234
- Thread starter
- #41
Kama kupiga miziki ya dini ni lazima kwenye bus wapige moja ya gospel moja ya qaswida🤣🤣Ni mziki gan tunaweza kujali ili tukipiga kila mtu afurahie ndani ya gari?
Kama kupiga miziki ya dini ni lazima kwenye bus wapige moja ya gospel moja ya qaswida🤣🤣Ni mziki gan tunaweza kujali ili tukipiga kila mtu afurahie ndani ya gari?
Au tupige wimbo wa Tanzania Tanzania?Hakuna.
Ukianzisha biashara za umma,yaani wateja wako ni mtu yoyote yule,ni vyema ukawa neutral kwenye masuala ya imani za kidini ili uwape furaha wateja wako.Huo ndio msimamo wangu japo siwezi kumuingilia mtu na mali zakeKuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.
Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania
Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
Uko nje ya mada🤣, kwenye ndege wanapiga gospel au qaswida?Hakuna.
Wimbo wa taifa tuu sio wote tunaupenda, unaambiwa tuwaombee Viongozi afu ndo hao hao mafisadi na wauaji
Angalau hayachagui imani ya mtu,Kwamba watu wote wanapenda hayo uliyoandika hapo?
vipi kitendo cha kuweka nyimbo au filamu hakiwaudhi wasio wadau ?kwenye usafiri wa umma kuweka mahudhui ya kidini.
Maana mule kuna mchanganyiko wa imani mbalimbali. Wengine wanakwazika
Kuna theists pagans na wengine wengi tu, na pia kuna waislamu na Wakristo pia hawapendi kusikia miziki ya dini zaoKama kupiga miziki ya dini ni lazima kwenye bus wapige moja ya gospel moja ya qaswida🤣🤣
saafi😊😊Au tupige wimbo wa Tanzania Tanzania?
Binafsi naoenda sana wale wanaweka safari channel au national geographical
naam hii ndo safariNa kutazama nje huwa napenda sana kuangalia mandhari na mifumo ya maisha ya watu
vipi mabudha?Kama kupiga miziki ya dini ni lazima kwenye bus wapige moja ya gospel moja ya qaswida🤣🤣
Vip shintovipi mabudha?
Mkurugenzi chuma ikila buyu cha kwanza anaulizia basi lakeHawana bima inayolinda gari na abiria
??🤣🤣 Changia mada inayojenga Tanzania sawa
Hata kama kinawaudhi au hawapendelei kinavumilika tofauti na masuala ya kiimanivipi kitendo cha kuweka nyimbo au filamu hakiwaudhi wasio wadau ?
Kwamba ukisikia imani unaona n Uislamu na Ukristo tuu?Angalau hayachagui imani ya mtu,
Mimi mwenye huwa sio mfuatiliaji wa hizo mambo nikiwa safarini. Huwa niko busy na simu yangu
Na kutazama nje huwa napenda sana kuangalia mandhari na mifumo ya maisha ya watu
Ww hata cjui nikujibu nn mana unayoandika Hata sikuelewUko nje ya mada🤣, kwenye ndege wanapiga gospel au qaswida?
waweke mpja pia, kama wanataka kuweka maudhui ya dini🤣vipi mabudha?
Kibongo bongo iko hivyoKwamba ukisikia imani unaona n Uislamu na Ukristo tuu?
kalumanziraVip shinto