Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

Kapande gari la watu unao hisi ni dini yako ,hizo ni private property , labda kaamua kulenga abiria wa dini yake ila wewe ukajipendekezaAcha uHiyo sio private property ndio na discrimination kwa namna yoyote hairuhusiwi

Baada ya kusikiliza ulipata madhara gani?
Uislamu wako ulikuondoka?
Nilikwazika sana🤣🤣, jadili mada acha kulazimishia agenda
 
Kuna uzi niliona twitter x wanalalamika Azam media kuweka movie za kutiwa maneno ya kiswahili zenye maudhui ya dini fulani 🤔
Inshort hakuna maudhui yanayopendwa na kila mtu hasa mnapokuwa kwenye kundi la watu wengi, utaweka mpira ila sio wote wanapenda mpira, utaweka Taarabu Ila sio wote wanapenda taarabu.
Kwa mfano hizo movie za Azam, hao wenye dini inayozungumzwa hapo watafurahia na wengine watachukua, hii n kuonyesha hakuna maudhui yatakayompendeza Kila mtu.

Labla kusiwe na hizo TV kabisa.
 
Kampuni zinazojielwa huwezi kukuta wanaweka hizo gospel wala qaswida ni ujinga tu wa madereva na makondakta waK
Hizi bus za wachaga za Dar-Arusha -Moshi hazina tofauti na kanisa ukipanda🤣🤣, hadi muhudumu anajida mchungaji
Tilisho, BM, Esther, Kilimanjaro wajirekebishe🤣. Kuna namna nguvu ya wamiliki iko nyuma ya hayo maudhui🤣
 
Inshort hakuna maudhui yanayopendwa na kila mtu hasa mnapokuwa kwenye kundi la watu wengi, utaweka mpira ila sio wote wanapenda mpira, utaweka Taarabu Ila sio wote wanapenda taarabu.
Kwa mfano hizo movie za Azam, hao wenye dini inayozungumzwa hapo watafurahia na wengine watachukua, hii n kuonyesha hakuna maudhui yatakayompendeza Kila mtu.

Labla kusiwe na hizo TV kabisa.
Kama taarabu hata kama nimekata tiketi naweza itelekeza nikashuka hata porini
 
Inshort hakuna maudhui yanayopendwa na kila mtu hasa mnapokuwa kwenye kundi la watu wengi, utaweka mpira ila sio wote wanapenda mpira, utaweka Taarabu Ila sio wote wanapenda taarabu.
Kwa mfano hizo movie za Azam, hao wenye dini inayozungumzwa hapo watafurahia na wengine watachukua, hii n kuonyesha hakuna maudhui yatakayompendeza Kila mtu.

Labla kusiwe na hizo TV kabisa.
kunna kutokupenda, na kuna kurekeka na kitu🤣. Kwani bank wanawekaga gospel? Basi weke gospel nyimbo moja afu ikiisha waweke qaswida pia nyimbo moja🤣🤣
 
Back
Top Bottom