Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

Ni sawa kuweka nyimbo za injili kwenye mabasi ya mikoani?

We mama hii ni jamii forums, mijadala inaibuka ili ijadiliwe na itoe majibu chanya kwa pande zote, wewe kwavile imeguswa interest yako umekuja hapa kama umebakwa ukijidai uko neutral😀 English nyingi haina mchango wa maana umetoa sanasana umefanya mashambulizi.

"You are a religious fool, wafanulie wasioamini kwa upole watakuelewa🖕🖕"
A dumbass lacking foresight, it's obvious that you can't see further than the end of your nose.
IMG_20260407_002055.jpg

Kuna kitu kinaitwa common sense, hauna hata chembe.
With your irritating religious intolerance at least ungejibu mifano ya lack of aircon, lack of seatbelts and the likes.
 
A dumbass lacking foresight, it's obvious that you can't see further than the end of your nose.View attachment 3568644
Kuna kitu kinaitwa common sense, hauna hata chembe.
With your irritating religious intolerance at least ungejibu mifano ya lack of aircon, lack of seatbelts and the likes.
unapanda basi lenye stiker za YESU NI MWAMBA, halafu unalaamu maudhui yake??
 
Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.

Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania

Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
mbona yapo yanayomilikiwa na wasio Wakrito na piga nyimboza injili ...nayo Wakristo wanalazimisha?,lkn pia kama mabasi ya Wakristo yanapiga nyimbo za injili basi uwe unapanda ambayo si ya Wakristo,yapo mengi
 
Mi nikiingia chombo cha usafiiri
Naweka pods zangu masikion km vilivyowekwa sivipendi
Simple...
Na hili mwenye basi hahusiki ni dereva na konda wake..hasa dereva
 
usiite watu wajinga, ukitukaniwa mungu wako utajaza povu🤣🤣..changia mada kama ilivyowasilishwa tutapokea mchango wako na kukubali mawazo mbadala
Sasa ukimtukana Mungu wangu mimi naanzaje kutoka povu. In fwakti Mungu ana uwezo wa kujipambania mwenyewe, hahitaji support yoyote ya mwanadamu kujipambania na kujipambanua.
 
Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.

Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania

Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
Sio sawa
 
Back
Top Bottom