a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Shetani peke yake hapendi kusikiliza ama kutazama habari njema za Mungu,mashetwaini ma majini ,mawakala wa kuzimu ndio hawapendi kusikia habari za Mungu..njema za Mungu.
Kataa ujingamjingamjinga tu ndo anaeweza kuamini bila hicho unachosema maisha hayaendi🚮🚮🚮🚮🚮🚮
🤣sawa, kwenye bus sio mahala pakeKataa ujinga
Pokea Injili uwe salama
Hio ni imani yako🤣, unaenda nje ya madaUislamu na ukristo ni ujinga wenu mliouanzisha wanadamu.
Kitakachokupeleka mbinguni ni matendo mema sio ukristu au uislamu wako.
Kataa ujinga
Pokea Injili uwe sa
Hata hujielewi🤣, your way is not the only way throughHabari njema inatakiwa kufikishwa kila mahali tena muda wote.
usiite watu wajinga, ukitukaniwa mungu wako utajaza povu🤣🤣..changia mada kama ilivyowasilishwa tutapokea mchango wako na kukubali mawazo mbadalaUislamu na ukristo ni ujinga wenu mliouanzisha wanadamu.
Kitakachokupeleka mbinguni ni matendo mema sio ukristu au uislamu wako.
Kuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.
Nadhani waige mfano wa kampuni mbili kubwa za Bus, moja ya Morogoro na nyingine ya Gairo. Ukipanda zile Bus huwezi jua mmiliki ni wa dini gani au dereva na kondakta ni wa dini gani. Na hiyo ndio Tanzania
Ila ukipanda hizi za wachaga na wakinga kama sio mkristo utaita maji mma🤣🤣
Tunatamani hivo, andikeni kwenye matangazo kwamba ndani ya hizo bus ni injili injili au kaswida mwanzo hadi mwisho wa safari ili tusipande kabisa tusiwakere na bus zenu🤣🤣Unataka waweke nyimbo zipi? Wakikukera acha kupanda buses zao
Sio wote tunaabudi mungu, unakosea🤣🤣Issue sio dini,
Wote tuna abudu Mungu, Sasa ikipigwa nyimbo ya kikristo au ikipigwa hadithi za Quran sio issue ilinradi zinatoa mafunzo
Tubapishana padogo tu
Unalazimishwa kufanya nini mkuuKuna tabia imekithiri ya Bus zinazoenda mikoani hasa zinazomilikiwa na ndugu zetu wakristo kulazimishia abiria maudhui kwa kuweka nyimbo za injili, hasa mwanzo wa safari. Je hii ni sawa? Hasa ukizingatia sio abiria wote ni wa imani ya kikristo na hii huwa adha kubwa kwa wasio wakristo.
Hatupo huko😊, umeenda nje ya mada ili kugawa watu kwenye comment kiimani🤣🤣, au labda hujaelewa mada ngoja nikurudishe utupe mchango mzuri.. ni sahihi ndani ya bus njia nzima inapiga nyimbo za injili tu wakati abiria waliopanda ndani ni wa dini mbalimbali?Waislamu hawataki dominace ya ukristo iwe kwa namna yeyote.....
Utakuta mmiliki wa Basi ni mwislamu ila ndani ya basi lake amejaza nyimbo za gospel.............
Yupo sahihi tu kwasab hao ni wateja wake..........
Mbona wasanii na wanamichezo wengi kwenye nchii hii ni waislamu kwa 60% na Wakristo hawana tatizo na hilo, na ni fans wao.
Rudi shule(specifically advance secondary) ujifunze kusoma na kuelewa mada inayojadiliwa mkuu🤣🤣🤣Unalazimishwa kufanya nini mkuu
kwahiyo wewe unataka dominance ya imani yako kwenye bus sio? 🤣🤣 basi sawa, tunajifunza mengi yaliyojificha kwenye hizi comments pia🤣🤣🤣🤣😊😎😎Waislamu hawataki dominace ya ukristo iwe kwa namna yeyote.....
Utakuta mmiliki wa Basi ni mwislamu ila ndani ya basi lake amejaza nyimbo za gospel.............
Yupo sahihi tu kwasab hao ni wateja wake..........
Mbona wasanii na wanamichezo wengi kwenye nchii hii ni waislamu kwa 60% na Wakristo hawana tatizo na hilo, na ni fans wao.
una point imehificha unaogopa kuisema tu, hebu jikaze uitoe tupate maoni yako🤣🤣🤣😎😊Waislamu hawataki dominace ya ukristo iwe kwa namna yeyote.....
Utakuta mmiliki wa Basi ni mwislamu ila ndani ya basi lake amejaza nyimbo za gospel.............
Yupo sahihi tu kwasab hao ni wateja wake..........
Mbona wasanii na wanamichezo wengi kwenye nchii hii ni waislamu kwa 60% na Wakristo hawana tatizo na hilo, na ni fans wao.
Sawa malaika🤣, uko peponi kwa mungu wako unalazimisha watu wote wawe kama wewe🤣🤣Shetani peke yake hapendi kusikiliza ama kutazama habari njema za Mungu,mashetwaini ma majini ,mawakala wa kuzimu ndio hawapendi kusikia habari za Mungu..njema za Mungu.
point ni wewe kukaa na umalaika wako, usitulazimishie kuusikiliza utakatifu wako🤣🤣, ukitaka tuupate umalaika wako utuombe ridhaa kukusikiliza sio ulazimishe tukusikilize. MShetani peke yake hapendi kusikiliza ama kutazama habari njema za Mungu,mashetwaini ma majini ,mawakala wa kuzimu ndio hawapendi kusikia habari za Mungu..njema za Mungu.
nakufafanylia ili uelewe naona huelewi au unabadilisha mada makusudi.Waislamu hawataki dominace ya ukristo iwe kwa namna yeyote.....